Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari wetu ni vigunia na hawaaminiki kabisa vita ikitokea we tayrisha panga lako.Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa
USSR
Askari wetu ni vigunia na hawaaminiki kabisa vita ikitokea we tayrisha panga lako.
Kwa kweli fatilia tena mkuu mavitambi huko yapo makubwa makubwa hata kuhema hawawezi angalia mtandaoni na mpaka ripoti ya kushamiri kwa vitambi katika jeshi lao ipo.Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa
USSR
Nimeshawaona wanajeshi wenye vitambi, lakini sina uhakika kama kuna Askari komandoo JWTZ mwenye kitambi.Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa
USSR
Kuna maonyesho flani hivi alionekana mwanajeshi komandoo ana kitambi na wepesi wa hali ya juu nafikri ndio walipata pa kusemea hapo kwa huyo tuNimeshawaona wanajeshi wenye vitambi, lakini sina uhakika kama kuna Askari komandoo JWTZ mwenye kitambi.
Kumbe vitambi haviwakwamishi kutekeleza majukumu yao? Basi acha tu wawe navyo ingawa haviwapendezei!Kuna maonyesho flani hivi alionekana mwanajeshi komandoo ana kitambi na wepesi wa hali ya juu nafikri ndio walipata pa kusemea hapo kwa huyo tu
Kabisa suala ni huwa haileti picha askari kuwa na vitambi ila wale jamaa unaweza kuta ana kitambi ila fanya toa ntoe na yeye uone kama utampata ,,Kumbe vitambi haviwakwamishi kutekeleza majukumu yao? Basi acha tu wawe navyo ingawa haviwapendezei!
Wewe ni mmoja wao?Kabisa suala ni huwa haileti picha askari kuwa na vitambi ila wale jamaa unaweza kuta ana kitambi ila fanya toa ntoe na yeye uone kama utampata ,,
Wanakua na wepesi wa kiaskari vile vile
Hapana ni lugha ya mtaani kabisa mfano" nilimkimbiza mwizi toa ntoe" ukimaanisha nilimkimbiza mwizi hatua kwa hatua akipiga hatua ninae kila analofanya unae ndio maana halisi ya hilo neno na si vinginevyo., WasalaamWewe ni mmoja wao?
"Toa ntoe" ni lugha gani mkuu? Misamiati kama wa Kiswahili lakini lugha kama si Kiswahili.
Comoro walifika waasi wamesepamfano lebanoni na Comoro moto ulikuwa unawashwa ni zaidi ya Ukraine na urusi.
Sidhani sana kama uko sahihi , nafikiri waasi walikuwepo hata baada ya vikosi vya umoja kuwasili kisiwani Anjouan na kwa kiasi fulani walileta upinzani wa kimapigano kabla ya kuzidiwa na kukimbia uwanja wa mapigano ,Comoro walifika waasi wamesepa
🙏🙏🙏Hapana ni lugha ya mtaani kabisa mfano" nilimkimbiza mwizi toa ntoe" ukimaanisha nilimkimbiza mwizi hatua kwa hatua akipiga hatua ninae kila analofanya unae ndio maana halisi ya hilo neno na si vinginevyo., Wasalaam