'Parallel realities', 'Multi-universes', mpo wengi kama wewe!

'Parallel realities', 'Multi-universes', mpo wengi kama wewe!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Amini usiamini.., 'limwengu' zipo nyingi kupindukia.., infact idadi yake haina mwisho! na katika kila 'limwengu' kuna dunia kama hii.., na katika kila dunia wewe upo. For instance.., katika ulimwengu huu J.K ni Rais.., lakini naweza kusema with 100% surety kwamba katika one of those infinit number of parallel realities yupo J.K ambae ni omba omba.., yupo J.K ambae ni muuza duka na pia yupo J.K ambae ni Rais wa marekani.., and the possibilities are endless, infact katika every possible outcome basi ipo 'limwengu' ambapo each and every one of those possible outcomes zina- manifest, its complicated (an understatement), ila endelea kunisikiliza.

Lets say unasoma hii thread sasa hivi at time 't', at time (t+x), ambapo x is an infinitely small amount of time lapse, kuna an infinite number of course of action unazoweza kuchagua.., either uka-click back na kurudi kwenye main page, au ukaamua kunywa maji kidogo, au unaweza ukainuka na kuondoka hapo ulipo and the list is infinitely long, basi elewa kwamba each and every one of those possible outcomes zitakuwa manifested katika 'limwengu' tofauti tofauti ambapo 'reality' uliyonayo sasa inagawanyika na kuwa 'parallel realities' nyingi zisizo na kikomo ili kuweza ku-accomodate possible out comes nyingi zisizo na kikomo. Na hii process inaendelea exponentially na infinitely.., can u imagine! Mungu wa ajabu sana. Imekuwaje hadi niseme haya?! Unaweza ukasema huyu jamaa kachanganyikiwa.., tuendelee..

Ushahidi (Scientific basis)


Kwa wale mnaoelewa vizuri ule uwanja wetu wa 'The realm of Quantum mechanics' hamta pata tabu sana kuondoa fikra kwamba huyu jamaa ameamka na viroba.

Katika moja ya gunduzi zilizoshtua na kuchanganya wachunguzi wa masuala ya Quantum mechanics ni the 'proven fact' kwamba kitu kimoja kinauwezo wa kuwepo katika sehemu mbili kwa wakati mmoja, yaani ni kama Mexence Mello awe Ofisi za JF muda huu na pia at this same time awe nyumbani kwake anakula good time.., sounds devastatingly bizarre lakini this fact imekuwa proven over and over again at sub-atomic levels through super precise analysis. Sasa kwa vile hizi sub-atomic ndio zinaunda atoms, na atoms ndio zinaunda molecules ambazo eventually ndio zinaunda watu na viumbe vyote pamoja na kila kitu katiaka 'limwengu', basi it follows the same line of thinking kwamba Mexence mello anaweza kuwa katika 'limwengu' tofauti kwa wakati mmoja, ila tu kakika 'limwengu' hii ni mwanzilishi wa JF ila katika 'limwengu' nyingine anaweza akawa ni gaidi wa kiislam. Nitarudi..
 
Weka assumption basi.
For non newtonian particles/mechanics.
Ie is not valid for rest mass.
It is valid for a wave particles.
Unless human are wave then there is possibility for duality.

What about energy, do you have enough energy to manifest in different dimension ?

Mie naona hio nadharia ni valid kwa mwanga na free spsce tu. Kama sisi ni mwanga basi tunaweza kuwepo kila sehemu, ila hatujaumbwa kwa mwanga. Majini yameumbwa kwa moto inaweza kuwa yenyewe yaka manifest hio theory.
Kitu nakiona kwa binadamu kinaweza kumanifest ni CONSIOUNESS tu, nayo kiasilia ni mwanga na umeme nayo inaprojection, na limitation nying na ina base kwenye memory zaidi, na focus .
Ingekuwa inawezekwna kwa akili kumanifest infinitely basi watu wa daresalam wangekuwa wanajua kila kitu kinachofanyika vijijini kwao, kwa sasa unaweza kujua kwa msaada wa teknolojia na sio matukio mengi kwa mpiho. Simu, computer hazijatupa bado uwezo wa kuwepo kila mahala ila miaka ijayo itawezekana.
 
Duuh, hii thread sikuwahi hata kujua kama niliwahi kuandika, aisee!
 
Back
Top Bottom