Paranoid shizophenia

shirima Mathias

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
451
Reaction score
1,333
Hii ni mada ya madocta waliosoma tena wakaelimika, hivo ngumbaro piteni hivi

Inasemekana huu ni ugonjwa ambao unamuwehua mtu bila kupenda, yaani unajikuta kichaa bila kupenda paranoid shizophenia
Nini kinachofanyika?
Ni mtu/ au binadamu unachukuliwa na kufungiwa kwenye chumba cha peke yako na kisha unaleweshwa kwa muda (hata mwezi mmoja) na baada ya hapo unawashiwa taa masaa yote na hivyo kushindwa kutambua usiku wala mchana.
Ikisha gundulika ubongo umeathirika watakuwekea TV na kuanza kukuonyesha vipindi au sinema za zamani mf Hotuba za mwalimu, au miziki ya zamani kuonyesha kama ndio imetoka jana. Yaani unaweza kuwekewa wimbo wa mbaraka mwinshehe,michael Jackson, tupac na nyinginezo na ukadhanishwa ndio zimetoka jana au juzi, na kwa vile ubongo umeshajiharibikia unajikuta unaamini.

Hilo ndilo gonjwa la PARANOID SHIZOPHENIA linavyotengenezwa.
Mlale na muamke kwa amani

WAPEKEYE
 

Mbona pamoja na kwamba umelileta hili hapa Kwetu ' Kimjadala ' ila na Wewe unaonekana kabisa kuwa unasumbuliwa moja kwa moja na huu Ugonjwa wa ' Paranoid Schizophrenia ' Kiongozi?
 
Kwa hiyo, mwenge, alafu TBC ndo mpango wa kuwa Paranoid shizophenia wadanganyika ili 2020 wapige kura wakiwa misukule???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…