#COVID19 Paris: Lionel Messi akutwa na ugonjwa wa UVIKO-19

#COVID19 Paris: Lionel Messi akutwa na ugonjwa wa UVIKO-19

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Staa wa Klab ya PSG na Argentina amegundulika ana mambukizi ya ugonjwa wa uviko-19 na klabu yake imethibitisha leo.

Staa huyo tayari ashajitenga na kuna uwezekano akakosa mchezo wa French Cup dhidi ya cannes.
 
Back
Top Bottom