Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Michezo ya Olimpiki inasimamiwa na kuratibiwa na kamati ya olimpiki duniani (IOC) kwa ajili ya kusaidia michezo mbalimbali kwenye nchi nyingi Duniani.
Kuna michezo ya kuruka au miruko mbalimbali , kukimbia uwanjani na Barabarani , kutembea , Kurusha Tufe, Kurusha Mkuki , kurusha kisahani, kuogelea, Judo , Kucheza muziki, mpira wa miguu, mpira wa pete, mpira wa kikapu na michezo mingine mingi.
kamati ya olimpiki ya dunia ; huwa inatoa fungu la Pesa kwa wanachama wake wa kila nchi ; kama vile kamati ya olimpiki tanzania (TOC) kwa ajili ya kuendeleza michezo, kuwezesha kambi za michezo na kuwafundisha makocha na pesa za kujikimu.
Kuna muda maalumu au vigezo maalumu ya kufuzu baada ya kuwezeshwa fedha za kukukufanya uwe sawa kwenye Mazoezi.