Paris Saint-Germain Special Thread

Here we go.
Your browser is not able to display this video.
 
Labda kocha ashindwe mwnyw leta chemistry nzr nje na ndan ya uwanja..vinginevyo hii team ni tishio..pa1 ni kwl,kushinda UCL sometimes haitak majina makubwa peke yake lkn hii team iko balanced na ina contain Serial winners.
 
Jana tu online store ya Psg..jezi zime sold Out within 30 minutes..
Since Messi signed for PSG, 832,000 licensed Jersey have been sold out in less than 24hrs. Three versions were made; “vapor version”, which is the one that players use, costing $186; the “stadium version” of the home kit costing $127 and the away kit “stadium version” at $104. [emoji91]
 
[emoji2788] Lionel Messi's first words as a #PSG player...
 
Generating €90M
 
Daah asee mzee wng kuna watu wana influence humu dunian...ndo maana psg waliharakisha sana deal lake hrk wanajua kbs faida watakazo zipata kama team nje na ndan ya uwanja ni massive.
 
In August alone, Paris Saint-Germain's followers increased by 5.80 million followers so far.

The Lionel Messi effect. [emoji238]
 
Labda kocha ashindwe mwnyw leta chemistry nzr nje na ndan ya uwanja..vinginevyo hii team ni tishio..pa1 ni kwl,kushinda UCL sometimes haitak majina makubwa peke yake lkn hii team iko balanced na ina contain Serial winners.View attachment 1888085
Hakuna cha chemistry au nini unaweza ukawa ni timu nzuri Kama hiyo na bado ukapigwa vizuri tu.
 
Daah asee mzee wng kuna watu wana influence humu dunian...ndo maana psg waliharakisha sana deal lake hrk wanajua kbs faida watakazo zipata kama team nje na ndan ya uwanja ni massive.
Nimeshangazwa sana na Barca na La Liga kudharau faida hizo za kiuchumi mchezaji wa Caliber ya Messi anavyoleta.
 
Hakuna cha chemistry au nini unaweza ukawa ni timu nzuri Kama hiyo na bado ukapigwa vizuri tu.
Ni kwl hata madrid Galacticos hawakushnd ki2..team majina makubwa kuipanga kwake pia waelewane waweze ku deliver ni kaz pia..lkn on paper wana team nzr kila sehem ilo halina ubish..na me bet yng ni team ita deliver in terms of UCL watafny vzr
 
Yes, tayari na chenchi imebaki
Daah kudadeki influence yake ni massive..kwnz ukiona zile video jana anavotolewa airport utadhan lbd rahis wa marekani kaingia ufaransa mzee..PSG kwl wamejua kumpa heshima mchezaj bora wa mda wote...na sasa kesho ataanza tizi na tunachotarajia sisi mashbik lia lia wa Psg ni furaha tu.
 
Hahahaha, yea wamempa heshima na furaha, maana barca hatujamuaga vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…