Paris Saint-Germain Special Thread

nyie utopolo nataka mpangwe na yanga tuwajaze kwelikweli, chezea makambo wewe -Messi kitugani bhana gaaah
 
Naona wametuweka na Man City..ngj tuone wengne wawili..naomba kundi le2 liwe kundi la kifo team zote ziwe nzr tujipime against the best...
#ICE C'EST PARIS
 
PSG have accepted Real Madrid's offer of 170M+10M in bonuses. Mbappé will be in Madrid tomorrow.

Both Real Madrid and PSG now consider the deal DONE. It will be announced tomorrow.

[emoji383]| Kylian Mbappé is set to become the second most expensive player in football history (again).

[emoji1371]MARCA
 
Mwache aende tu
 
Nimefurahi sana huyu dg aondoke zake..maana tukimHold ataleta ego kwny dressing room na tutampiga bench tu bora aende..hakuna mkubwa kuliko Messi aende Madrid tu
 
Paris St-Germain ilizungumza na Cristiano Ronaldo kuhusu uhamisho kutoka Juventus msimu huu wa kiangazi, lakini hakuna ofa yoyote iliyotolewa, na kumfanya mshambuliaji huyo wa Ureno, 36, kurudi Manchester. (Goal)
 
Kumsaini nyota wa Brazil Neymar, 29, kutoka Barcelona mnamo 2017 kumeigharimu PSG pauni milioni 489 katika ada na mshahara wake. (Marca)
 
PSG signing Messi, Donnaruma, Hakami, Wijnaldum & turning down 200 million for Mbappe all to win the Champions league… all Chelsea did was employ the manager PSG sacked.

This game is just so interesting😂😂😂😂
 
PSG signing Messi, Donnaruma, Hakami, Wijnaldum & turning down 200 million for Mbappe all to win the Champions league… all Chelsea did was employ the manager PSG sacked.

This game is just so interesting[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa
 
Kwa sasa nampenda Messi kuliko alivyokuwa Barca. Na kwa sasa naweza kuwamini ni bora kuliko Ronaldo
kwa sababu kaamia timu yako. kwa kweli binaadamu tuko very irrational.
 
PSG signing Messi, Donnaruma, Hakami, Wijnaldum & turning down 200 million for Mbappe all to win the Champions league… all Chelsea did was employ the manager PSG sacked.

This game is just so interesting😂😂😂😂
This is interesting na chanzo ni shareholders.
Shareholders wa PSG have never used their brain to make money wakati bilionea wa chelsea, ni a genius jew.
 
Nyinyi mashabiki wa psg kuna jamaa anasema ni shabiki wenu ila kila siku yupo uzi wa Arsenal kamfuateni mumkalishe humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…