Paris Saint Germain Yakata rufaa Game na Barcelona kurudiwa


Shabiki wa Barcelona akitoa maoni[emoji23][emoji23]
 

Pumba tupu, kwa hiyo kwa kuwa chelsea hawakukata rufaa wakati wanaonewa ndio inahalalisha maamuzi mabovu ya refaa?? Sometimes inahitaji ujitoe akiri ili utetee ujinga
 
Uefa sio sawa na TFF yenu ya bongo... Kimsingi hiyo taarifa umeongeza chumvi tu. Wao wameainisha makosa manane ya mwamuzi wakilenga kuainisha sababu za kufungwa kwao. Lkn kamwe sio kutaka mechi irudiwe. Ukiendekeza ujinga kama huo kwenye soka, haitatokea mtu afungwe na kukubali matokeo. Hivi barca walilalamika baada ya kufungwa 4-0?
Mleta mada punguza mahaba yasiyo na tija.
 
Mechi ikerudiwa PSG anakula kumi, japo najua haiwezi kurudiwa kamwe.
Mashabiki wa PSG ni sawa na wa Simba tu...wakefungwa na Yanga lawama ni kwa refa tu,kwahili wamefanikiwa sana kuwaaminisha FANS wao hivyo na kusahau kujadili dosari za kiufundi za timu pamoja na benchi la ufundi. Poor PSG mnapaki basi,Liverpool pekee ndo anamgonga Barcelona pale nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…