Na maboss wa psg wanamng'angania huyo dogo kumbakiza kwa gharama yoyote wanajua akiondoka tu na project yenyewe imekufa Neymar na Messi hakuna kitu unaweza tegemea toka kwao kwa sasa
Na dogo mwakani anawakimbia ndio utajua utegemezi wa hiyo timu ulivyo kwa Mbappe