Parker to captain England

popiexo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
742
Reaction score
183

Kwa upande mmoja naona Stuart amefanya chaguo sahihi hasa kutokana na nafasi anayo chezea "combative midfielder" pamoja na kwamba ataongoza timu yenye wazoefu wengi na inayofuatiliwa sana na viombovya habari kwa staili yake ya maisha ndani na nje ya uwanja ni mtu aliyejijengea heshima

Tuangalia strength na weakness zake na kama atafaa kuwa chaguo lakudumu

Karibuni.
 
:shetani::shetani:The post/thread has been eaten by the ghost!!:help::help::help::help:
 
:shetani::shetani:The post/thread has been eaten by the ghost!!:help::help::help::help:
Wakuu I'm very sorry, nadhani nili load picha kwa njia ambayo sio sahihi nimerekebisha sasa tuendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…