Parking Fee at Coco Beach Tsh 700/-

Parking Fee at Coco Beach Tsh 700/-

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
serikali ya mtaa wa Oysterbay inatoza ushuru wa ku park magari coco beach Tsh 700

Hizi pesa zinaishia wapi?

Ili serikali ya mtaa itoze ushuru wa maegesho , bylaws zinatungwa au ni wazo la mwenyekiti wa serikali za mtaa linatosha kuanzisha mradi wa kukusanya ushuru wa maegesho.

Je ukigoma kulipa hatua gani zinachukuliwa kisheria?

ukidadisi ni kuwa unalipia gharama za usafi na ulinzi coco beach.
 
Back
Top Bottom