Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=,

Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku wananiletea deni

sasa nikiwauliza wanasema hela hazijafika kwetu,

Ushahidi wote ninao, je niupeleke wapi nipate haki yangu

NB
Sio mimi tu wapo wengi wamefanyiwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…