parole ni mbadala wa kifungo cha gerezani. kama alivotangulia kueleza mchangiaji wa kwanza, hii hutolewa kwa mfungwa fulani aieonesha kubadili tabia pale gerezani. baada ya kutolewa nje atatazamiwa kwa kipindi maalum. endapo ataonesha kusahihika basi ataachiwa huru. hii inasimamiwa na THE PAROLE BOARD. Aina hii ya kifungo* hutumika zaid nchini MAREKANI. inafanana sana na ile inaitwa PROBATION ambayo kwa TANZANIA inasimamiwa na sheria iitwayo THE PROBATION ACT.