SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Kotmiri siyo parsley ina vinafanana sana kwa umbile isipokuwa matumizi na harufu yake, ukienda kariakoo kama siyo mwenyeji wanaweza kukuuzia kotmiri kama parsley, sehemu ya uhakika unaweza pata parsley kama ilivyo kwa dar ni supermarket hasa shoprite au soko la kisutu karibu na posta mpyainaitwa kotmiri...sana wahindi huwa wanazinunua
Jamani nashukuruni kwa majibu yenu , nimepata mwanga na ujuzi zaidi. Linki ya Ilyoko.. pia imefafanua vizuri, aksanteni.
Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI inaitwa: kotimiri au kitimiri
Kotmiri siyo parsley ina vinafanana sana kwa umbile isipokuwa matumizi na harufu yake, ukienda kariakoo kama siyo mwenyeji wanaweza kukuuzia kotmiri kama parsley, sehemu ya uhakika unaweza pata parsley kama ilivyo kwa dar ni supermarket hasa shoprite au soko la kisutu karibu na posta mpya