Part 2; Naingia shambani very serious kulima mahindi

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Rejea Pt 1 hapa kilimo cha alizeti [emoji116][emoji116][emoji116]

Msimu huu nataka kulima ekari 50 za mahindi na ekari 20 za alizeti

Nitaleta mchanganuo na mrejesho kila hatua [emoji120][emoji120]

TAARIFA
Wakuu wale mlikua mnasubiria mrejesho mniwie radhi nilipata changamoto ya battle kisheria kukomboa kiwanja changu nikashindwa kwenda kulima

Msimu ujao LAZIMA nilime tena 🙏
 
Unalimia eneo Gani? Mkoa, wilaya, kijiji? Unatarajia kipato Cha kiasi Gani Kwa ekari Moja,?
Gharama za Kulima ekari Moja ni kiasi Gani?

Na mwisho vipi Ile project ya Alizeti ulifanikiwa?
 
Nalima Singida Ndago
Mchanganuo utafuata hivi sasa nipo shamba Nafanya tathmini
 
Bajeti isiwe chini ya ml 20 Kama mashamba Ni ya kukodi
 
Rejea Pt 1 hapa kilimo cha alizeti [emoji116][emoji116][emoji116]

Msimu huu nataka kulima ekari 50 za mahindi na ekari 20 za alizeti

Nitaleta mchanganuo na mrejesho kila hatua [emoji120][emoji120]
Oyaa mzee baba Mayu
Usisahau mrejesho
 
Back
Top Bottom