sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 183
By Sangu Joseph
WAGENI MASHUGHURI
Moja ya vitu vingine ambavyo niliviinjoy sana ni pale kuona viongozi wa kisiasa, wakijumuika na wasanii, wafanyabiashara kuhakikisha Albamu ya #AfroEast ya Konde Boy inakua kubwa zaidi.
Mwanzoni nilihisi tukio lingekua la kawaida kama ambavyo wasanii wengine huwa wanafanya Ila nilipokuja kuona Kiongozi Mstaafu wa Nchi anaamua kuacha usingizi wake na kwenda kwenye uzinduzi ndipo nikasema hili tukio si la kawaida linaenda kutikisa nchi, kiukweli uwepo wa Baba Jakaya Kikwete ilileta msisimuko mkubwa sana hata kwa watu wasiopenda burudani.
Uwepo wa viongozi wa Serikali na Chama ulionesha unabaraka za watu wote kilichobakia ni kupendwa Tu na Watanzania ambacho ndicho kipo sasa.
NYIMBO ZA ALBAMU
Kuanzia nyimbo ya 1 - 18 zote ni Fire Ila ukiniuliza mimi naipenda ni ile 'Fall in Love' na 'Mama' ngoma kali kwangu kuanzia utunzi mpaka beat.
MPOKI NA SHILOLE
Kama wanavyosema hata jambo jema sometimes huwa halikosagi kasoro, kwangu changamoto ndogo ambayo niliiona ni matumizi ya lugha kwa baadhi ya Stars wetu mfano Mpoki kuna wakati alilazimisha kutumia maneno ambayo nadhani hakujua kuwa kulikua na Watanzania wengine wanatazama na pale alikuwepo Mkuu wa nchi Mstaafu the same kwa Dadangu Shishi (Tuwasamehe)
All in All tusubirie tuone je ni kweli Album hailipi kama inavyodaiwa na baadhi ya Wakongwe nchini,
Kama ulikosa Part 1 soma ( Tathmini ya Sangu J kuhusu uzinduzi wa albamu ya #AFROEAST ya Harmonize)
Bonyeza kusoma zaidi ()
FB : INSTA TWITTER ; SANGU JOSEPH
All the Best #KondeBoy #IloveaTZ #KijanaMzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app