Elections 2010 Part 2 ya Ufisadi wa Kikwete na wenzake inaendelea kuumiza Watanzania tena

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
2,509
Reaction score
1,340
Miaka mingine 5 ya wizi wa JK na genge lake unaendelea (Part 2) ya JK. Jitaarisheni watanzania kwa wakati mgumu unaoletwa na JK na genge lake la kimafionso, co-starring Chenge, Lowassa na wengineo wakituletea ugumu wa maisha. Kumpa Fisadi Chenge uspika ni sawa na kumpa Lowassa funguo za Bank. Mungu tuepushe katika hili baala la ufisadi unaongozwa na Kikwete.😛eep:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…