Part one: Swali kwa wanaume tu

Part one: Swali kwa wanaume tu

Binafsi nitaelewa tu kama hii ni ya kiunoni hasa nikijita kwenye urembo!
Zote zina urembo ndio ila ya shingoni mara nyingi urembo huwa umezidi tofauti na ile ya kiunoni
 
Maybe chains are specified by thé manufacturer that where She suppose to wear off her body then i can recognize even when She wear at différent body position but if not... Only hell can concentrate inspecting her chain where She worn [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mpenz wangu hua anavaaa uzi wa kijani tu kiunoni kutokana na mila za nyumban!!
 
Ilo neno "KAMA" katika maelezo yako ndio limenipa ukakasi. Ila cheni ya kiunoni akiivaa KAMA cheni ya shingoni au bangili ya mkononi itapaswa ivaliwe kiunoni, hivyo basi Nitafahamu kwa kuikuta kiunoni. Ila ikiwa shingoni ni cheni na ikiwa mkonon ni bangili.
 
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Soma vizur swali, ila tu! Km litakuwa limeandikwa kimakusudi;-
Swali hili limelegwa kujibiwa na wale tu! Wanaume wanaovaa chen kiunoni kitu ambacho Tanzania hapa c kawaida.
Kwahiyo tuwaachie wanaume wenzetu wavaa chen viunoni waumize vichwa vyao...[emoji23] [emoji23]
 
Sasa hilo ni swali gani?
Au unataka tujue kwamba siku hizi unavaa cheni kiunoni badala ya shanga.
Unanikumbusha zamani nikiwa shuleni visichana vikicheza mchezo wao wa rede vinafunua sketi zao tuone kama vina chupi mpya vikiwa na zilizotoboka wala haviruki sarakasi.
 
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
hahaa kwel unapina IQ .
ni hivi lazm utajua tu km iyo cheni kwamba shingon si mahala pake sababu cheni ambayo huvaliwa kiunoni ..ni kubwa kwa shingon yaan haita feet ,..itakuwa lepelepe sababu kule kiunoni ili feet kutokana na na size ya kiuno chako..so shingoni cheni itakaa lkn haita feet na itajulikana km si ya mahala pale. kwaiyo ni oversize kwa shingo.
 
itakuwa lepelepe kivipi si nitaizungusha
 
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.

Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.

Swali la kwanza;

Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?

Hivi miss unajua hili swali lako ni tata sasa hivi ndiyo nmekumbuka.

Hili swali halijakidhi vigezo vya maswali.
 
Back
Top Bottom