Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ooooh!! Kusikia kwema.Si Ndio cheo chako nasikia baada ya kustaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh!! Kusikia kwema.Si Ndio cheo chako nasikia baada ya kustaafu
Hiv bado una hasira enheewOoooh!! Kuikiakwema.
Hasira ya nini kaka?Hiv bado una hasira enheew
YameishaHasira ya nini kaka?
Okey.Yameisha
Soma vizur swali, ila tu! Km litakuwa limeandikwa kimakusudi;-Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
Hicho kitakuwa kiuno ama fitoya kiunoni itakuwa na round mbili
zawadi ni nini kwanza??
Thank you thank you...umenikumbusha kituSiwezi ku assume maana hata manzi angu havai izo makitu
Sasa hilo ni swali gani?
Au unataka tujue kwamba siku hizi unavaa cheni kiunoni badala ya shanga.
Unanikumbusha zamani nikiwa shuleni visichana vikicheza mchezo wao wa rede vinafunua sketi zao tuone kama vina chupi mpya vikiwa na zilizotoboka wala haviruki sarakasi.
hahaa kwel unapina IQ .Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
itakuwa lepelepe kivipi si nitaizungushahahaa kwel unapina IQ .
ni hivi lazm utajua tu km iyo cheni kwamba shingon si mahala pake sababu cheni ambayo huvaliwa kiunoni ..ni kubwa kwa shingon yaan haita feet ,..itakuwa lepelepe sababu kule kiunoni ili feet kutokana na na size ya kiuno chako..so shingoni cheni itakaa lkn haita feet na itajulikana km si ya mahala pale. kwaiyo ni oversize kwa shingo.
Tunataka kupima IQ zenu wanaume.
Tunaanza na mambo ambayo mtaona ni irrelevant sana. Msiache kunifuatilia hadi Jumapili nitawapa matokeo yenu.
Swali la kwanza;
Assume mwanamke kachukua cheni yake ya kiunoni akaivaa kama mkufu shingoni au bangili mkononi. Je, wangapi mtaelewa kwamba hii ni cheni ya kiunoni na sio mkufu au bangili?
hata km utaizungusha bdo itaonekana c mahal pke ila umeforce tuitakuwa lepelepe kivipi si nitaizungusha
Naona leo kaja na gia nyingine. Juzi alikuwa anataja sifa za ideal man wakeMiss Bado Unatafuta!?