Part!!!part!!!part!!!wana JF wote mnakaribishwa!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Kiingilio:bure.
Mahali:Nyumbani kwangu UK-DAR
Vinywaji:Non alcohol
Msosi:Nyama choma kwa sana na ugali dona/mtama/muhogo.
Tar/muda:itapangwa baadae kidogo.
Dhumuni(ndege3 kwa jiwe1)Ufunguzi wa kakibanda kangu kapya/siku ya kuzaliwa kwangu/Kujuana na wana JF wote watakao pata nafasi ya kuhudhuria.
Ntapenda kupata idadi kamili ya wageni wangu 30days before!
Ntapenda kupata around 5JF members(kamati)watakaonisaidia kuandaa bajeti.
Narudia tena kwamba ni free of charge.
Nawashukuruni wote na ntaweka taarifa kamili within few weeks.
Have nice weekend every body!
 
Inamaana yale mambo yetu hamna ata kidogo au unatania?
 
hongera spika....ila inaitwa party,,,,sio part.....
 
Ngoja nijipange kuja ...Nitakuja na Wine yangu...maana Nyama choma na Soda looooooooooooh hali ngumu
Asprin wala fidel80 huwaoni hapo
 
napenda sana kuandaa minuso!hebu niPM
 
Ngoja nijipange kuja ...Nitakuja na Wine yangu...maana Nyama choma na Soda looooooooooooh hali ngumu
Asprin wala fidel80 huwaoni hapo
Ntafurahi kama hutathubutu kuja na kinywaji cha namna hiyo mkuu!!!!!
 
Haivutii, hakuna kilaji hapo.......
Vipi totoz watakuwepo....




Duh mama Ngina akiona hii maneno nitakuwa kwishnehi
 
JAMANI NI NG'OMBE CHOMA,MBUZI CHOMA,KUKU CHOMA.BILA KUWASAHAU WALE WAPENZI WA'KICHURI',UGALI DONA/MTAMA/MUHOGO HUKU TUKISINDIKIZWA NA MUZIKI WA ENZI HIZO kama vile,marashi ya pemba,makumbele,rangi ya chungwa,mwisho wa mwezi,nacheka kilwa leo,kesi ya kanga,kisebengo,mtaa wa7,mpenzi ruta,amigo,baba paroko,lunch time,jogoo la shamba,isaya,dunia uwanja wa fujo,nimlilie nani,nimekusamehe.
 
Hata kili baridi spika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…