Part!!!part!!!part!!!wana JF wote mnakaribishwa!!

Watu wa humu ndani sijui vp aise.
Nimeshasema no alcohol sasa kili baridi si alcohol?
Mara maji ya gold,mara eeeeeee kha!
Jamani kuna watu humu ndani ni pasua kichwa balaa.
 
Watu wa humu ndani sijui vp aise.
Nimeshasema no alcohol sasa kili baridi si alcohol?
Mara maji ya gold,mara eeeeeee kha!
Jamani kuna watu humu ndani ni pasua kichwa balaa.

Sio pasua kichwa mkuu spika, ni katika kujaribu kupata uhakika kama kweli umemaanisha Party afu bila hiyo makitu, ina mchango mkubwa katika kufanya party iwe party aisee!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni pale banana! Nitakuja ila nitapiga kwanza kili kadhaa pale kwenye bar ya mr kipara then nakuja ukiona jamaa kibonge hivi anabonga sana (nitakuwa bwax) mwenye toyota gx v8 ndio mimi. Ila toa tarehe na muda muafaka.
 
Sio pasua kichwa mkuu spika, ni katika kujaribu kupata uhakika kama kweli umemaanisha Party afu bila hiyo makitu, ina mchango mkubwa katika kufanya party iwe party aisee!
Ni kweli mkuu,but imani yangu inanizuia!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ni pale banana! Nitakuja ila nitapiga kwanza kili kadhaa pale kwenye bar ya mr kipara then nakuja ukiona jamaa kibonge hivi anabonga sana (nitakuwa bwax) mwenye toyota gx v8 ndio mimi. Ila toa tarehe na muda muafaka.
Yes ni banana mkuu.
Karibu sana.
 
Watu wa humu ndani sijui vp aise.
Nimeshasema no alcohol sasa kili baridi si alcohol?
Mara maji ya gold,mara eeeeeee kha!
Jamani kuna watu humu ndani ni pasua kichwa balaa.

weka basi hata Tia Maria chupa moja....wakaka hendisamu watakuwepo....? wawe wamejazia vifua tafadhali.....
 
jamani si iwe leo tu!ila kweli mi nipo serious yani napenda sana kuandaa hivi vitu vya kimrengo huu yani party isiyo sijui na high table,mgeni rasmi wala upande wa kiumeni na kikeni!full kujitafuna!i hope kutakuwa na mashindano ya kuimba hizo nyimbo i see!
 
Sure!!yani litakua bonge la party aise.......full kutafuna.Mambo ya sikinde kama kawa.
 
mkuu spika ukjua tarehe rasmi nitaona kama nitakuja, asante kwa mwaliko. naweza kuja na shemeji yako?

Hongera kwa kila kitu. Way to go!!
 
Shakir nitakuwepo,
Kutakua Na utambulisho wa Jf members kwani??
 
mkuu spika ukjua tarehe rasmi nitaona kama nitakuja, asante kwa mwaliko. naweza kuja na shemeji yako?

Hongera kwa kila kitu. Way to go!!
Mkuu ata familia nzima unaweza kuja nayo,that's why nimezuia vinywaji vikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…