CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
- Thread starter
-
- #41
nyama choma hainogi bila maji ya shaba anyway tutajitahidi kuvumilia
Nadhani itapendeza!!Shakir nitakuwepo,
Kutakua Na utambulisho wa Jf members kwani??
Kiingilio:bure.
Mahali:Nyumbani kwangu UK-DAR
Vinywaji:Non alcohol
Msosi:Nyama choma kwa sana na ugali dona/mtama/muhogo.
Tar/muda:itapangwa baadae kidogo.
Dhumuni(ndege3 kwa jiwe1)Ufunguzi wa kakibanda kangu kapya/siku ya kuzaliwa kwangu/Kujuana na wana JF wote watakao pata nafasi ya kuhudhuria.
Ntapenda kupata idadi kamili ya wageni wangu 30days before!
Ntapenda kupata around 5JF members(kamati)watakaonisaidia kuandaa bajeti.
Narudia tena kwamba ni free of charge.
Nawashukuruni wote na ntaweka taarifa kamili within few weeks.
Have nice weekend every body!
Mhh!yes kapo lakini mimi simo lol!Party kibao za JF nimezikosa. Hii ntajitahidi. Sasa kama ni non alcohol kuna hata ka grocery pembeni nje kakujiboost hata kidogo?
Vyombo?vyombo gani tena?unamaanisha vyombo vya kulia nyama choma right?
Aaaa speaker, unaniangusha, Namaanisha Mambo yetu ya Rangi ya MendeVyombo?vyombo gani tena?unamaanisha vyombo vya kulia nyama choma right?
Aaaa speaker, unaniangusha, Namaanisha Mambo yetu ya Rangi ya Mende
nakuja jamani na mie
Isije ikawa mamluki amepandikizwa humu JF, nitajitambulisha kwa jina langu halisi.
Msinipondee mimi sio mwoga,ni utaratibu tu niliojiwekea.
Ni Imani mkuu!!tueleze kama vinywaji havipo sababu ya imani au kutokana na bajeti yenyewe kama ni swala la bajeti tunaweza kuchangia ila kama swala la imani itabidi tuheshimu taratibu
Karibu sana mkuu!mie pia nimepanga kwenda Mungu akiniweka salama, ila jina langu la Nambe, litabaki hukuhuku, kule wakitajwa jf members ntasimama, ila nitajitambulisha kwa jina langu halisi yakhee.....lol
Usitake ncheke!!Uliposema free of charge umenikata stimu, nahisi nina aleji na vitu vya dezo. Thamani ya kitu kipo kwenye price. Weka kiingilio japo buku. Lol