Part time and full time business/employment

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Hi all,
IPO FURSA YA BIASHARA AMBAYO UNAWEZA KUIFANYA KWA PART TIME AU FULL TIME NA KUPATA KIPATO KIZURI NA KIZURI HATA KAMA UMEAJIRIWA.
UKIWA KATIKA BIASHARA HII UTAPATA USHIRIKIANO WA KUTOSHA, MAFUNZO NA MSAADA WA KUSONGA MBELE BURE KABISA ILI UWEZE KUKUA..
Sifa mojawapo is "Desire to excel and self motivated"
For more information for those interested only, call: 0769 852820

NB:SIO KAZI YA OFISINI NI BIASHARA.
 
mnapatikana mikoa gani?na kampuni inaitwaje?mnajihusisha na biashara/huduma gani?....weka details za kutosha kwanza kabla mtu hajaamua kupiga simu
 
mpendwa,

ukipost job,weka details zote muhimu hapo kama aina ya kazi,kampuni,malipo,tarehe ya kuanzapamoja na vigezo
si kuweka tu linamba la simu ili watu waku-pm ,hiyo huashiria rushwa,upendeleo au ni uzuzu tu.
 
The business is conducted all over the world nowdays.It is called "NETWORK MARKETING BUSINESS".In tanzania offices are in DSM but you can conduct anywhere you wish.I'm also available in DSM.
NB:It is not an office employment,rather business hence for those profesionals with employment already you can do it for part time and still gain good attractive income.
welcome.
 

kazi zingine ni za nguvu za giza, ushindwe na ulegee.
 
ni za GNLD, wanauza alovera, jamaa yangu alijaribisha akaenda Jmos, watu walikuwa wengi, kila mtu hakawa hajui ni kazi gani, mara wakaambiwa ni za alovera
 


Freemasons here?????????????????????????????????????????

we hujui kuwa hii kitu na mafreemaaa??

Ushidwe na ulegeee
 
Mkuu hebu toa detail za kutosha unafanya biashara gani mf. Mimi niko Arusha inakuaje? Af hio biashara mtaji unakuwa nao wewe wau wanakupa, kiujumla unaiendeshaje
 

Watu wengine ovyoo...
 
sasa haileweki kazi gani au ndio za kufika kuambiwa we tayari umepata utakuwa marketing manager unapewa mizigo kafe nayo mbele
 
Nadhani mkuu keshasema ni NETWORKING MARKETING BUSINESS, mpaka sasa makampuni ninayoyafaham yanafanya biashara hiyo ni Foreva living products na GNLD, hizi ni biashara nzuri na zenye kuleta faida kubwa, ila kwa uzoefu wangu ni pasua kichwa sio rahisi kama mtu anavyoweza kufikiria, ila ukiipatia sehem amabayo watu hawajafanya sana na wanaapesa basi utakula sana na hata kazi unaweza acha kabisaaaaaa.........
 
ni za GNLD, wanauza alovera, jamaa yangu alijaribisha akaenda Jmos, watu walikuwa wengi, kila mtu hakawa hajui ni kazi gani, mara wakaambiwa ni za alovera

hahahaha! Dah, mi mwenyewe nishawahi kukaribishwa sehemu. Nikajua zinga la b'ness kumbe ni FLP wakati huo nilikuwa naijua na nilikuwa mwanachama ila nimeamua kuipotezea.
 
me bhana nimechukua mzigo nnao sijauza hata mmoja na sijapata hata wa kumkaribisha,imekula kwangu,yaani ni afadhali ningehonga goma pesa zangu ama ningenywea pombe ingekuwa bora,ila nasubiri maana kuna siku mcharuko wangu utapanda ntaenda kuwarudishia mzigo wao wanirudishie pesa yangu,nyambafu sana hawa jamaa!dah,duh,mmmh!
 

sawa me niko tayari ila siko Dar, what do I do next?...nipe maelekezo yote hapa coz huwa situmii simu kwa sababu zangu binafsi.
 
sawa me niko tayari ila siko Dar, what do I do next?...nipe maelekezo yote hapa coz huwa situmii simu kwa sababu zangu binafsi.

uta ambiwa karibu millenium tower makumbusho.ukishakutana nao watakupa maelezo ambayo yatakufanya uvuke barabara upande wa pili break point kunywa bia upungunze machungu.
 
figganigga umenichekesha sana haha haha hahaha haha hawa jamaa wana maneno matamu maana me mwenyewe nilishaingia nimejaribu kuuza mzigo imeshindikana nimejaribu kutafuta watu wa kuingia kwenye b'ness imeshindikana,hakika ningejua kuwa upande wa pili zinapatikana bia basi ningeenda kunywa tusker baaaridiiii
 

yes.tusker baaaridiiii au kilimanjaro bariiidiii...!!mukiona zinakuzinguo kwa chini yake pale chagabite kuna mdudu,unaagizia nusu wanaweka pilipili nyingi na rimao.mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…