Part time: Bachelor Degree in Information Technology

Part time: Bachelor Degree in Information Technology

PowerWithin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
646
Reaction score
501
Kheri ya mwaka mpya!

Kiu yangu ya kusoma IT inazidi kuongezeka siku hadi siku! Lakini kutokana na majukumu yangu napata wakati mgumu kuhudhuria darasani full time. Kwa mantiki hio naomba yeyote mwenye kufahamu chuo chochote hasa cha umma kinachotoa hio degree kwa part time anisaidie kunijulisha!

Nimejaribu kuangaza angaza kwenye sites mbalimbali za vyuo za umma hapa bongo lakini naona sijafanikiwa kuona part time! Pengine sijaangalia vizuri ama vipi hata sielewi!

Please msaada wenu wakuu!
 
Ungekuwa na pesa ungesoma online. Jamaa yangu alisoma Bachelor ya Pharmacy, baadaye akasomea bachelor ya computer science na sasa ni senior software engineer huko ughaibuni.
 
Back
Top Bottom