Kheri ya mwaka mpya!
Kiu yangu ya kusoma IT inazidi kuongezeka siku hadi siku! Lakini kutokana na majukumu yangu napata wakati mgumu kuhudhuria darasani full time. Kwa mantiki hio naomba yeyote mwenye kufahamu chuo chochote hasa cha umma kinachotoa hio degree kwa part time anisaidie kunijulisha!
Nimejaribu kuangaza angaza kwenye sites mbalimbali za vyuo za umma hapa bongo lakini naona sijafanikiwa kuona part time! Pengine sijaangalia vizuri ama vipi hata sielewi!
Please msaada wenu wakuu!