IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, yenye leseni na imesajiliwa TRA.
KIMI inajishughulisha na shughuli za Project/Business consultancy services ( write-ups and professional advice), training and research. Pia KIMI inajishughulisha na sourcing and supplying various GOODS.
KIMI offices zipo Mbeya jijini, karibu na Mzumbe University.
Kwakuwa KIMI bado changa, tunahitaji kufanya kazi na wataalamu mbalimbali kwa kadri ya KAZI tunazopata. Hawa watakuwa part-time Co-consultants watakao kuwa wakifanya pamoja nasi kila KAZI (dili) linapotokea. Sisi kama Kampuni kazi yetu tunaendelea kuji-establish kwa wateja wetu na kuweka misingi ya kampuni yetu.
SIFA ZAO; Bachelors and Masters wenye uelewa mkubwa katika mambo yanayofanywa na kampuni.
Baadhi ya shughuli hizo ni:
PIA tunahitaji tuwe na freelancer MARKETING officers ambao kazi zao ni KUTAFUTA/kutafuta masoko ya baadhi au kazi zote za kampuni hii na upon negotiation tutawalipa kwa Commission (wastani wa 5-10% ya gharama za kazi iliyotafutwa, na inalipwa mara baada ya mteja kusaini mkataba wa kazi na kutulipa kampuni)
Marketing pia itahusu shughuli za kampuni ambazo ni GENERAL SUPPLIES. Supplies ya vifaa na bidhaa mbalimbali zinazotakiwa na taasisi na maofisi mbalimbali kama shule, vyuo, biashara, na maofisi mbalimbali.
SIFA ZAO: FORM SIX, CERTIFICATES, DIPLOMAS & BACHELORS
KWA UFAHAMU ZAIDI TUTEMBELEE KWENYE BLOG YETU: KARIBU!!
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
0754734009

- Business planning and writing
- Business documentation; financial statements and cash-flows etc
- Project planning and writing
- Feasibility studies and report production
- Scheme development planning and writing
- Preparation of training manuals and programmes
- Training on various business and project development aspects
- Development and writing NGOs & CBOs constitution and Companies documentation