Watu wana utaalamu kama wako na zaidi na wanatafuta kazi Full time na hawapati wewe unatafuta kazi tena kwa masharti eti part time! uchumi wetu bado haujaweza kutengeza ajira nyingi kiasi hicho mpaka kuwe na watu wanaochagua wafanye kazi muda gani, dont be so much out of touch with reality, man! Watu wasiokuwa na kazi hapa Tanzania ni zaidi ya 60% halafu wewe unaongelea mambo ya part time job, Duh!
IT ni bahari kubwa sana.....na haiwezekani ukawa unajua kila kitu......taja ambavyo una zoefu navyo
upate kueleweka, kama database designer, webmaster, System analyst, networking, programmer, etc