Part time job network marketing

Part time job network marketing

1975

Senior Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
131
Reaction score
18
Ndugu yangu katika mfumo soko asili kiwanda huzalisha bidhaa hufanya masoko (media,mabango,....) na kumuuzia agent kisha agent humuuzia mfanyabiashara wa jumla na mufanya biashara wa jumla humuuzia mulaji hao wote wewe ndio unawalipa ndio maana cocacola kiwandani sh260 lakini dukani sh 500.Sasa upo mufumo huru wa network marketing au mufumo masoko mtandao ambao wenyewe hutoa middle man wote na kumuuzia moja kwa moja mulaji halafu faida inyotokana na kutangaza,middleman cost and profits mnagawana nayo nitaeleza,leo unajiunga kwangu ambaye tayari nimejiunga halafu unatafuta watu wa chini yako watatu na wao wanatafuta watu wa chini yao watatu inaenedelea hivyo hivyo kama inavyoonyesha hapo chini
1=wewe
(1*3)+1=4
(3*3)+4=12
(9*3)+12=39
(27*3)+39=120
na kuendelea
hawa watu 120 wakitumia bidhaa uzoefu unaonyesha utapata si chini ya sh 20000000 kwa mwenzi
FAIDA ZAKLE
-LEO UKIUGUA AU KUFA MWAJIRI WAKO HATAENDELEA KULIPA MSHAHARA
-INATUMIA MUDA MCHACHE UNAENDELEA NA AJIRA YAKO NA UNAWEZA UKATUMIA MASAA MAWILI TUU KWA SIKU
-INARITHIKA HII INAMAANA UTAENDELEA KUPATA HERA HATA VITUKUU VYAKO VITAENDELEA KUFAIDI HATA BAADA YA WEWE KUFA
NIPIGIE 0717031290 kwa maelezo zaidi.Pia tembelea ofisi yetu MILENIUM TOWER(GOROFA YA PILI) gorofa ya pili uliza MWAKITALU huyu ni network marketing consutancy mwenye uzoefu wa kutosha namba yake ni 0714912856 mwambie MENLEY MGATA Kanambia nije kwako.
Asante kwa kusoma na kuchukua action{HUUZI BIDHAA UNATUMIA NA KUTAFUTA WATUMIAJI NA YEYETO ANA SIMU HIVYO ANAOWATU KWENYE SIMU HATA WAWILI NI ASSET KWAKO}
 
Nilikuwa nasoma Rich Dad's Cash Flow Quadrant na kukutana na kitu kama hicho!! Let me find more abt tht type of marketing and am certain kwamba soon or later nitakukol ili nipate details zaidi ktk mazingira ya hapa tz!!! I
 
karibu sana pale milenium tower gorofa ya pili mpigie simu mutu anaitwa Mwakitalu number yake ni 0714912856,just tell him Menley Mgata directed me to see you.
 
Yah you are welcome,just call me 0717031290
 
or you may call 0714912856 ,hii ni namba ya Seth Mwakitalu mwambie Menley Mgata kaniagiza nije kwako.Huyu ni expert wa network marketing.
 
tupia bidhaa hizo tuzijue,.au ndo forever living na gnld?
 
Serio and every one if you are in Dar es salaam can we meet?
I will take just 10 minutes of your time,si zaidi ya hapo kwani najua muda dhahabu sana kwangu mimi na kwenu{Nieleze nikupate wapi tuongee namba yangu ni 0717031290 au napatikana sana kwa email hii mgata.menley@huawei.com}.
 
please dont insist on meeting us or posting ur phon number before telling us ur products,.u know curiosity killed the cat
 
Asanteni sana kwa dialogue ,ambayo ilikuwa so intresting .I am appreciating all of you who contributed there ideas .Vilevile kuna wale ambao wameomba email yangu mgata.menley@huawei.com. NIMEFUNGA MDAHALO HIYO NI EMAIL YANGU NA NAMBA YANGU NI 0717031290 ,TUNAWEZA KUENDELEA KUWASILIANA KWA MWENYE KUHITAJI DIALOGUE ZAIDI NA YEYOTE ATAKAYE KUWASILIANA NAMI.
 
Back
Top Bottom