Doh, najua tunataka kusaidiana na kufanya juhudi kuanzisha websites na vitu kama hivyo ambavyo vitasaidia wengine,lakini kama unaona lugha tatizo,basi jaribu kuomba msaada watu wakusaidie,maana haina maana unaanzisha website halafu lugha una chapia kiasi hiki.Omba msaada,si aibu kusaidiwa inapohitajika....