Hahahaa, unauliza majibu?..Na technic zao woote zinafanana!
Tatizo watanzania wengi wanaona kama network marketing ni ujinga, ukienda nchi zilizoendelea ni kazi yenye heshima kama zilivyo zingine, sizungumzii pyramid scheme, nazungumzia Network marketing Business au kwa kifupi MLM, kwa mfano forever living, nimeona watu wanaanza na wanafanikiwa na wanapata fedha ambazo wamezihangaikia sio kama za desi ambayo ni pyramid scheme(No products in line), mimi sipo forever lakini naiheshimu sana hii biashara. Nimenshuhudi mtu amepambana vilivyo na hii biashara na sasa hivi ametoka.
Nini Maana ya Network Marketing:
Nitaelezea kwa mfano,aina mbili za markerting
Indirect Markerting
Coca cola wanaingia gharama ya kutengeneza soda, kuitangaza, na kuisambaza kwa mawakala wao wa jumla halafu kwa wauzaji wa rejareja then inamfikia mtumiaji
Direct Marketing(Network Marketing
Coca cola wanatengeza soda, wanawapa watu waitangaze na kuwaalika wengine watangaze na kuuza pia hizo soda, hivyo basi kampuni inalipa gharama ya matangazo kwa hawa watu kama commission
hivyo basi, usiiponde network marketing,ni nzuri sana, mtu aliyesomea marketing atakwambia maana ndo uwanja wake