Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Kuna sehemu nilienda, sasa akapita huyo kaka/dada eeh nyuma kajazia jazia kiasi chake, anatembea kwa kujibinua na kama mwanamke. Wakasema ndiyo mwenye massage na yanayoendelea, kuna walioenda ๐คญMh, wewe bibie umejuaje yote haya??
Huwa siamini kama ni mwanamke au ni malaya mstaafu, zaidi namuona kama mtu anayetumika na TISS katika kuchepusha agenda fulani kupitia propaganda ya ngono.mimi napenda vile unavyoandika herufi kwa ufasaha na mtiririko mzuri.
Asante sana kipenzi Bantu LadyNusratt mimi napenda vile unavyoandika herufi kwa ufasaha na mtiririko mzuri. Ila siku hizi kuna makaka poa pia, siku uje na hii mada. Kuna wanaofanya kama massage parlour kumbe ukizidiwa, unaambiwa utaongeza kiasi kadhaa uhudumiwe.
Kuna kaka poa, kapanga nyumba nzima kazi ni hiyo.
Haya wanunuzi wa utelezi, mmekaribishwa, mtupe mauzoefu yenu.
Sawa kipenzi changu na tajiri yangu Mshangazi dot com naanza taratibu kurejea jukwaani mpenzi.Babes nimefurahi umerudi ๐ Nusratt
Haya naweka kambi hapa nikisubiri kusoma comments za waja.
View attachment 3356880
Hiii ya Makaka poa imejificha sababu wanaofanya ivi sana ni wanaume wenye ndoa zao wanaume wengi wanaogopa kujulikanaUmeshawahi kumhisi mtu kama ni mteja wa makaka poa?
Basi kuna watu na heshima zao ndio wateja wakubwa. Kuna mtu mmoja mwenye degree nyingi tu amempangishia msenge wake nyumba Tabata. Nikikuonesha picha yake utakataa.
Au yule uchafu mwingi wa dampo ambaye hana shida na kitu kinaitwa K, yeye ni wanaume tu tena watu wenye wake na familia zao.
Hapo kwenye mafuta nimekumbuka jambo ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnaweza kujiuliza hao madada poa 3 kwa kila chumba wanalalaje?
Iko hivi, si kila dada poa analala danguroni.
Wapo wanaokuja kufanya kazi usiku tu na asubuhi huondoka na wapo pia wanaofanya kazi asubuhi na jioni wanaondoka makwao.
Na hata hao waliopangisha au kugeuza nyumba zao madanguro pia hugharamia godoro na maji tu.
Shuka, mto, โMAFUTA, condom huja nazo dadapoa.
Nimeshakukijua ulichokuwa unatakaHapo kwenye mafuta nimekumbuka jambo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kuna mmoja nilizunguka nae usiku wa saa 7 tukitafuta mafuta kisa kuna kitu nilitaka
Siku moja njoo na uzi wake tujue mengiHiii ya Makaka poa imejificha sababu wanaofanya ivi sana ni wanaume wenye ndoa zao wanaume wengi wanaogopa kujulikana
Lakini sikupata mkuuNimeshakukijua ulichokuwa unataka
Nafurahi unaendelea vizuri kipenzi, take it slow ๐Sawa kipenzi changu na tajiri yangu Mshangazi dot com naanza taratibu kurejea jukwaani mpenzi.
Karibu sana๐๐๐
Utelezi usio na shida unaupata Barber shop na SpaKatika principles zangu nilizo ona nimeziweza ni pamoja na hii ya kuto kununua utelezi kwa style ya hawa dada poa.lezi
Na ni mtu wa tungi sana naweza kesha club na naweza kupiga gambe mpaka asubuhi ila ila eti nilewe nipite na malaya hehehe never sijafikia kiwango hicho cha kutafuta utelezi.
Tafuta demu kijana.Mkuu uzi mzuri, ila ilitakiwa utaje na machimbo ya kuwapata hawa dada poa
Mfano kwa goba chimbo liko wap?