Wana JF naomba kujua utofauti baina ya Partial transcript and Full Transcript nasema ivyo kwasababu kwenye vacancies nyingi wanazotangaza
unakuta wanasema partial Transcript are not allowed only Full transcript are allowed,na kiukweli nahitaji kujua utofauti uliopo baina ya viwili ivyo
Full ni ile inayoonyesha kila kitu ulichosoma na results zake, kwa hiyo tuma hiyo.
Partial inaweza ikaonyesha summary fulani tu, labda tu kuwa umefaulu na ukapata degree fulani maybe GPA etc.
Partial inaonesha matokeo ya mihula/ semester ambazo hazijatimia zile unazotakiwa kusoma, Full ni taarifa inayoonesha matokeo ya semester zote na daraja husika.