PARTICIA Vs VERONICA

aoe ambaya kisha zaa nae
anataka single parent wazidi ongezeka.
 
yeye anampenda yupi?
Moyo wake unamtaka yupi?
Halafu tabia ya kuwa na wapenzi luluki matokeo yake ndo haya,hajui awe na nani,anatuuliza sie wakati hatumjui vero wala pati.

Achague anayempenda.

Basically alichokipigia mstari huyu Bwn ni :-
Kipi bora kati ya upate mtoto ukose manjonjo ya Malavidavi !
 
jaman kwan yy m2 mzima kbs of sound mind hana vigezo vyake.... ebo!
mwambie awaoe wote.

Obsed ! Sasa mikelele yote hiyo unavyoongea ya nini ? Mpaka nyumba ya pili wanatuchora ? Punguza basi sauti mi maskio yangu mazima! Hayo ndiyo matatizo ya kuwahi Bar mapema na kuchelewa kutoka!
 
Obsed ! Sasa mikelele yote hiyo unavyoongea ya nini ? Mpaka nyumba ya pili wanatuchora ? Punguza basi sauti mi maskio yangu mazima! Hayo ndiyo matatizo ya kuwahi Bar mapema na kuchelewa kutoka!
ahaaa...... kumbe unasikia fresh poa ngoja nipunguze sauti.
 
Mpaka mchumba wanajamii tumchagulie? Wakishindwana huko ndani?
Atakuja tena kuomba ushauri afanyeje kuhusu uyo mtu wake aachane naye au aendelee naye?
 
aendelee kutafuta labda atampata atakayemfaa, mwenye vigezo anavyovitaka yeye.
 
Amuoe anayempenda yeye. Hawezi kusema anawapenda wote sawa. Ina maana binti akiwa hana uwezo wa kuzaa kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wake adhabu yake ni kutoolewa?
"Never advice a friend to go to war or to marry"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…