Partners katika financial and baking sector (tarining and consultancy)

Partners katika financial and baking sector (tarining and consultancy)

HR CONSULTANT

Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
76
Reaction score
8
WADAU NAITAJI CONNECTION NA WATU WENYE UZOEFU KATIKA BANKING NA FINANCIAL SECTOR,LENGO KUBWA NI KUSHIRIKIANA KUZA PRODUCTS ZA CONSULTANCY NA TRAINING ZA KAMPUNI KUBWA YA FINANCIAL CONSULTING KUTOKA SOUTH AFRICA KWA BANKS NA FINANCIAL INSTITUTIONS ZA HAPA NCHINI NA PIA HUDUMA ZA CORPARATE GOVERNANCE.MTU YOYOTE ANAEWEZA KUSAIDIA KATIKA HILI PLEASE TUWASILIANE VIA president2005tz@yahoo.com.
ahsante wadau.
 
Mimi nadhani unatakiwa kuandika proposal yako, alafu unaweza mtebelea manager wa benki yeyote. Hiyo unaweza ifanya mweneywe sidhani kama unaitaji any go between person. Pia jaribu kuandaa pamphlets zako and if possible weka kwenye DVD au CD.
 
Back
Top Bottom