Z zakarya Member Joined Nov 1, 2015 Posts 36 Reaction score 5 Jun 15, 2020 #1 Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
D DidYouKnow JF-Expert Member Joined Jul 28, 2019 Posts 1,229 Reaction score 1,950 Jun 15, 2020 #2 Mkuu masharti kibao, wakati wewe ndio umetoa ombi. Wengine hawatumii hiyo mifumo na bado ni patners wazuri.
Mkuu masharti kibao, wakati wewe ndio umetoa ombi. Wengine hawatumii hiyo mifumo na bado ni patners wazuri.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Jun 16, 2020 #3 Serious?duh..unahis upartner ni rahisi mkuu namna hiyo? Jus Skype?
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Jun 16, 2020 #4 ubabe wakati una shida