Mimi ni mjasiliamali, nimeona fursa ya kuendesha kampuni ya uwakili na masuala ya bima. Tatizo sio wakili na sina cheti chochote cha Bima,
Nahitaji mtu ambaye ni wakili tujiunge pamoja tuanzishe ofisi ya uwakili. Mimi nitatoa jengo (ofisi na vitendea kazi).
Kwa upande wa Bima, nahitaji mtu ambaye amemaliza kuanzia cheti hadi shahada ya Bima tujiunge pamoja kuendesha biashara ya bima, yeye aje na cheti mambo mengine mimi nitashughulikia.