party time data entry jobs

Fafanua kidogo hiyo inakuwakuwaje?na vp umewahi kuifanya?

Thanks
 
Cdhani km kuna ukweli wowote wa hii issue coz nilijaribu kuifatilia then mwisho wa cku nilitakiwa ku pay fee,kuanzia $55 na kuendelea depends on aina ya kazi unayotaka na level uliyokuwa nayo.Km kuna m2 yeyote ambaye amefanikiwa kwa hilo naomba atufahamishe wana JF.
 
Nimefungua hiyo site nikahisi kaharufu ka utapeli.
 
Hawa ni wezi. Itakuwaje mtu unapewa kaz halafu unatakiwa kulipia?
Kama ni hayo malipo kwa nini wasikate kwenye hiyo kaz utakayofanya? Mwenyewe nilifungua nikakuta hakuna jipya zaidi ya kuibiwa. Thx.
 
Eti toa pesa ili upate kazi! Upuuzi mtupu!
 
Wiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mods watu kama hawa wanaoleta post za kitapeli wapigeni ban ya maisha wasionekane tena humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…