ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Mrembo huyo alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wadau waliojitokeza ukumbini hapo ambapo alionyesha uwezo wake wa kukatika mauno kupitia wimbo, Salome wa Diamond ambao pia alicheza vitendo kwenye official video ya wimbo huo.
Wasanii waliperfom akiwemo Christian Bella.