Leo nimetoka kumwambia mtu kwamba parties za watoto kujazana wazazi wengi kuliko watoto ni kuondoa maana ya party kuwa ya watoto.ingekua ya mtt ingefanyika mchana wtt wenzie ndo wangehudhuria hyo aliyofanya alijifanyia mwenyewe ndio maana palikua hakuna wtt ....show off zimezid
kabisa siku hizi wanapoteza hata maanaLeo ninetoka kumwambia mtu kwamba parties za watoto kujazana wazazi wengi kuliko watoto ni kuondoa maana ya party kuwa ya watoto.
Watoto wanakuwa kisingizio tu.
Party ya watoto ina kukata mauno?
Tumeenda birthday parties za utotoni. Hazikukusanya wazazi. Zilikusanya watoto.
Yani unamshitaki Diamond ili akupe pesa za kufanyia upuuzi huu?Mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanyika Party kwa ajili ya mwanaye ‘Prince Dee’. Mrembo huyo alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wadau waliojitokeza ukumbini hapo ambapo alionyesha uwezo wake wa kukatika mauno kupitia wimbo, Salome wa Diamond ambao pia alicheza vitendo kwenye official video ya wimbo huo.Wasanii waliperfom akiwemo Christian Bella.
Ajabu! Pesa ya kufanyia sherehe anayo ya kutunza mtoto hana.Yani unamshitaki Diamond ili akupe pesa za kufanyia upuuzi huu?
Ama kweli aliyeturoga kafa.
Ajabu! Pesa ya kufanyia sherehe anayo ya kutunza mtoto hana.
Hapo ndipo vichwa vya wanaume vinapouma, hata ukitazama picha na video ni "me, me and me", weka ndani demu kama huyu uone cha moto! Hapo hakuna kupika, usafi wa nyumba, gardening au shughuli zozote za nyumbani! Kisa kazaa na wewe?! Bure kabisa..Leo nimetoka kumwambia mtu kwamba parties za watoto kujazana wazazi wengi kuliko watoto ni kuondoa maana ya party kuwa ya watoto. Watoto wanakuwa kisingizio tu. Party ya watoto ina kukata mauno? Tumeenda birthday parties za utotoni. Hazikukusanya wazazi. Zilikusanya watoto.
Hahahah bro mi namlaumu sana diamond. Kwa alivyojitumbukiza kwa huyu demu .Yani unamshitaki Diamond ili akupe pesa za kufanyia upuuzi huu?
Ama kweli aliyeturoga kafa.