Hajitambui na ndiyo maana Diomond alikuwa anampiga miti kwa miaka 9 kwa kumficha kwani hakutaka kuchekwa. We mtu unapigwa miti kwa kufichwa tena miaka 9 kisha unajisifia, kama kweli alikuwa wa maana si angetambulishwa? Huyu demu anahitaji maombi jamani.