Natty Bongoman JF-Expert Member Joined Oct 10, 2008 Posts 403 Reaction score 191 Jan 30, 2009 #1 bonyeza kuona PARTY YA WANYAMA note: vituko vya nyani, yule komba alietimuka asubuhi - nahisi alilewa sana afu akasahau kwenda nyumbani, afu wale mandege - yaani ni kama waliambiana 'ebu njooni muone vituko' afu kwa siku nzima wameangalia vituko live
bonyeza kuona PARTY YA WANYAMA note: vituko vya nyani, yule komba alietimuka asubuhi - nahisi alilewa sana afu akasahau kwenda nyumbani, afu wale mandege - yaani ni kama waliambiana 'ebu njooni muone vituko' afu kwa siku nzima wameangalia vituko live