Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
Parul University ni chuo kizuri sana India, kipo Gujarat.habari zenu wakuu
ni imani yangu kuwa mko poa
nimekutana na posts za scholarship za hiki chuo kwa jina la Parul University cha huko india
naomba kuuliza kwa wadau wa elimu kama kipo vizur na je scholarship zake ni legible
nawasilisha
3200 Kama tuition fee pekee au pamoja na accomodation cost, food, etc .?Parul University ni chuo kizuri sana India, kipo Gujarat.
Hiki chuo wanatoa 50% ya scholarship kwa Tution fee tu hivyo utatakiwa kulipa hyo 50% ya ada na gharama zingine.
50% ya ada ni kama 1200 USD Jumlisha hostel fee, medical fee, registration fee n.k.
Hivyo ili ukasome kule uandae kama 3200 USD hv kwa mwaka mmoja unatoboa.
NB: This is for Masters studies.
Its approximated total cost kwa kila kitu3200 Kama tuition fee pekee au pamoja na accomodation cost, food, etc .?
Hii mbona ndogo sana kwa masters au mimi naona vibaya3200 Kama tuition fee pekee au pamoja na accomodation cost, food, etc .?
convert kuja shilingi za kiboogo kama hutataman usome saut au open utawalipa mdogoHii mbona ndogo sana kwa masters au mimi naona vibaya
Naomba namba yake kakaUzuri Asmission Office ya Parul University kuna dem wa kibongo ni mtu wa Iringa. So ukiamua kuchat nao kwa kihehe ni fresh tu [emoji28][emoji28]
Njoo PM BroNaomba namba yake kaka
Leta mrejesho mkuu unipe na contactNi chuo kizuri tumemuombea dogo kwenye admission ya mwaka huu. Nitaleta mrejesho akienda
WhatsApp: +919978993376Leta mrejesho mkuu unipe na contact
ShukranWhatsApp: +919978993376
Nimemchek lakini pia kama unaweza kuwa na ABC zozote kuhusu tuition fee au hostel fee ya masters unaweza share nami...WhatsApp: +919978993376
Nimemchek lakini pia kama unaweza kuwa na ABC zozote kuhusu tuition fee au hostel fee ya masters unaweza share nami...