above metal04
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 272
- 224
Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.Ninaomba Kujuzwa Kama Si Kueleweshwa Kwanini tarehe ya Pasaka Hubadilika Badilika Kila Mwaka? Mbona Krisimasi Tarehe Ni Ile Ile 25 Dec Kila Mwaka Na Huwa Haibadiliki?
cc Mchungaji Illovo
Ameuliza anataka kujuzwa kama hujui na wewe funga domo na ww ujuzwe hayo mengine hayana maana hapa.Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
Sasa tarehe ya kufa nayo inadilika aliyekufa siku fulani mwakani inabadilika au?Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia
sio swali la kitoto, ila comment yako ndio ya kitoto, huyu mdau anataka kupata maarifa wewe unambeza?Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
sio swali la kitoto, ila comment yako ndio ya kitoto, huyu mdau anataka kupata maarifa wewe unambeza?
hao wanaopanga wanatumia muongozo gani?Huo no utaratibu uliowekwa na watu tu na wao ndo wanapanga Siku ya pasaka iwe lini. Kwa iyo kwa SBB na wao ndo viongozi walioiweka pasaka, ikipangwa hakuna Wa kupangua.
Cha msingi tu kujua. In kwamba jambo lolote LA Kimungu likifanyika lazma liwe na udhihirisho Wa nguvu za Mungu, km. Hakuna udhihirisho basi ni batili halina faida ya kufanya au kutofanya.
Ndio inabadilika. Ila kumbuka pasaka haijawekewa tarehe maalum kama Xmas 25. Cha msingi ni siku hio iwe jpili ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kuangalia tarehe .Sasa tarehe ya kufa nayo inadilika aliyekufa siku fulani mwakani inabadilika au?
jf ni ni moja ya wanaochangia content nyingi za Google, mtu mwingine akigoogle hili swali Google inatoa moja ya majibu yake jf, tena likiwa limejibiwa kwa kiswahili..so akiuliza anarahisishia wengine kazi piaHana Google? Atoe uvivu wake hapa!
MTU amesema anataka kujuzwa ww povu linakutoka kama unataka kufaHivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
Binafsi bado sijakuelewa mkuu tarehe ya kuzaliwa ni moja kama ilivyo ya kufa sasa iweje tarehe ya kufa iwe nabadilika na kuziliwa isibadilike?Ndio inabadilika. Ila kumbuka pasaka haijawekewa tarehe maalum kama Xmas 25. Cha msingi ni siku hio iwe jpili ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kuangalia tarehe .
Btw that is how I understand kama kuna mtu anajua atueleze vizuri
Slim shedy. Thea two days conside with each other.Mi ni mkristo agano la kale linasema yesu alikula pasaka mi inanichanganya kiukweli
Umetumia bibilia au n maono yako tu?Hii ni moja ya changamoto kubwa kama sisi watanzania tukitekeleza tutafanikiwa na kupiga hatua mbele.