Mi pia huwa inanichanganya pia pasaka msingi wake nini mbona agano lakale lina sema bwana alikula pasaka hapo tuBinafsi bado sijakuelewa mkuu tarehe ya kuzaliwa ni moja kama ilivyo ya kufa sasa iweje tarehe ya kufa iwe nabadilika na kuziliwa isibadilike?
Ndio inabadilika. Ila kumbuka pasaka haijawekewa tarehe maalum kama Xmas 25. Cha msingi ni siku hio iwe jpili ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kuangalia tarehe .
Btw that is how I understand kama kuna mtu anajua atueleze vizuri
ungeanza kujiuliza kwa nini idd inabadilika balika miezi?Ninaomba Kujuzwa Kama Si Kueleweshwa Kwanini tarehe ya Pasaka Hubadilika Badilika Kila Mwaka? Mbona Krisimasi Tarehe Ni Ile Ile 25 Dec Kila Mwaka Na Huwa Haibadiliki?
cc Mchungaji Illovo
Mkuu hii sherehe haijawekewa tarehe ila imewekewa siku. (Ijumaa -jpili) hivyo tarehe zake zitabadilika kila mwaka.Binafsi bado sijakuelewa mkuu tarehe ya kuzaliwa ni moja kama ilivyo ya kufa sasa iweje tarehe ya kufa iwe nabadilika na kuziliwa isibadilike?
Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
Cc:juve2012 Cc:kiranga Cc:eistein newton Cc:kiranga cc:aretasludovic cc: jimena cc: jumong sNinaomba Kujuzwa Kama Si Kueleweshwa Kwanini tarehe ya Pasaka Hubadilika Badilika Kila Mwaka? Mbona Krisimasi Tarehe Ni Ile Ile 25 Dec Kila Mwaka Na Huwa Haibadiliki?
cc Mchungaji Illovo
Nan mwanzilishi wahii sherehe?Mkuu hii sherehe haijawekewa tarehe ila imewekewa siku. (Ijumaa -jpili) hivyo tarehe zake zitabadilika kila mwaka.
X mas imewekewa tarehe hivyo siku ya wiki itabadilika ila tarehe haibadiliki. Pascal imewekewa siku maalum ya wiki hivyo tarehe itabadilika kila mwaka.
Zipo sababu za kihistoria lakini PIA pasaka lazima iwe dominika au jumapili kwa kiarabuNinaomba Kujuzwa Kama Si Kueleweshwa Kwanini tarehe ya Pasaka Hubadilika Badilika Kila Mwaka? Mbona Krisimasi Tarehe Ni Ile Ile 25 Dec Kila Mwaka Na Huwa Haibadiliki?
cc Mchungaji Illovo
Mi pia huwa inanichanganya pia pasaka msingi wake nini mbona agano lakale lina sema bwana alikula pasaka hapo tu
Nan mwanzilishi wahii sherehe?
Hebe tupe andiko bac ambalo linasema pasaka n kufa kufufuka kwa yesu kwahiyo yatupasa kusherekeaMkuu nimekueleza agano la kale wanasherekea Passover feast(siku wana Israeli walikombolewa kutoka misri) hivyo hata yesu na wafuAsi wake kama wayahudi walikuwa wanasherekea( ndio ile last supper)hapa walikuwa wanasherekea Passover
Kwenye bibilia ni hio hio siku kama sikosei au siku iliyofuata wali msulubu yesu.
Hivyo basi hizo sherehe ya ijumaa kuu na ile ya Passover zinaangukia siku moja.
Kwa maana hiyo Passover feast ni sherehe ya wayahudi sio wakristo ila pascal ni sherehe ya wakristo wanasherekea kufa na kufufuka kwa yesu.
Yesu alikuwa anasherekea Passover na sio pascal. Hope tupo pamoja.
Wewe mbona mpaka leo birthday yako haijabadilika?Hivi ikibadilika ama isipobadilika wewe inakusumbua nini? ama shida iko wapi? unakuja na swali la kitoto kujaza server za watu?
Hawezi kukupa kwasababu hakuna!Hebe tupe andiko bac ambalo linasema pasaka n kufa kufufuka kwa yesu kwahiyo yatupasa kusherekea
We nawe!Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia
Hebe tupe andiko bac ambalo linasema pasaka n kufa kufufuka kwa yesu kwahiyo yatupasa kusherekea
Mkuu leo una mkana bwana Yesu!Mkuu mimi sio mkristo , watafute wakristo watakusaidia.
Mkuu na ww, kumbe na ww hujui mm nilvyoona umemwaga vtu nkajua upo nondo kwenye hata maswala