Umetisha kaka hata kama wewe sio mkristo umijibu vyema, chuka like ya maneno, na ya kitufe[emoji106] nimeshabonyeza.Mimi sio mkristo ila naelewa kuwa pasaka ni kufa na kufufuka kwa yesu. Alikufa ijumaa na akafufuka jpili. Hivyo mnaposherekea inabidi iangukie ijumaa, kama sijakosea ijumaa ya mwisho ya mwezi wa tatu pasipo kujali tarehe.
Ila Xmas ni bday, tarehe maalum. Ni kama bday yako kila mwaka siku tofauti ila tarehe ile ile.
I hope nimekusaidia
acha uzembe! hakuna mahali inatajwa tarehe ya kifo cha Yesu Kristo, bali inatajwa Ijumaa!Sasa tarehe ya kufa nayo inadilika aliyekufa siku fulani mwakani inabadilika au?
Hilo haliwezekani hata kidogo. The church iliamini jua linazunguka dunia ndio maana Galileo akaishia jelaHapo zamani wayahudi walikua wanaadhimisha sikukuu yao siku chache kabla ya pasaka kutegemeana dunia ilivyokuwa inalizunguka jua.hivyo sikukuu ya pasaka hutegemea na dunia kulizunguka jua.jaribu kuangalia pasaka zote huwa ni kati ya tar.23 March na tar.8 april.haijawahi kuvuka hapo..na taree hizo ndipo dunia hulizunguka jua
Soma kitabu cha Kutoka 12 imeelezea vizuri sana msingi wa PasakaNingependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..
Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..
Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...
Natanguliza shukrani..
Hapo mjinga ni nani na kaliwaje?Wajinga Ndiyo Waliwao.
Nikipata Bible ntaangalia..notedSoma kitabu cha Kutoka 11 imeelezea vizuri sana msingi wa Pasaka
Nami nitasoma mkuuSoma kitabu cha Kutoka 11 imeelezea vizuri sana msingi wa Pasaka
Ni sura ya 12 mkuu, nimefanya marekebisho kidogoNikipata Bible ntaangalia..noted
Ni sura ya 12 mkuu, nimefanya marekebisho kidogoNami nitasoma mkuu
Kumpotezea kutamfaa zaidi. Lengo ni ku- draw attentionHapo mjinga ni nani na kaliwaje?
Wajinga Ndiyo Waliwao.