Soma kitabu cha Kutoka 12 imeelezea vizuri sana msingi wa Pasaka
Endelea kusoma mkuu, kuanzia mstari wa 11 hivi inaelezea vizuri sana, soma chapter nzimaNimekuta hiii...mlango wa 12....ila sijaona kama inahusiana na pasaka..
Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;
4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na ny
Je, Tuabudu Sanamu?
Jibu la Biblia
- “Usijifanyie sanamu ya kuchongwa wala umbo lililo kama kitu chochote kilicho juu mbinguni wala kilicho chini duniani wala kilicho ndani ya maji chini ya dunia. Usiviinamie wala kushawishiwa kuvitumikia, kwa sababu mimi Yehova Mungu wako ni Mungu anayetaka watu wajitoe kikamili.” (Kutoka 20:4, 5) Kwa kuwa Mungu anataka watu “wajitoe kikamili,” hafurahi kuona tukisifu au kuabudu sanamu, picha, au mifano.
- “Sitakubali sanamu zichukue sifa yangu.” (Isaya 42:8, Easy-to-Read Version) Mungu hukataa ibada anayopewa kupitia sanamu. Baadhi ya Waisraeli walipoanza kumwabudu kupitia sanamu ya ndama, Mungu alisema kwamba walifanya “dhambi nzito sana.”—Kutoka 32:7-9, Easy-to-Read Version.
- “Hatupaswi kuwazia kwamba Mungu ni kama dhahabu au fedha au jiwe, kama kitu kilichochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu.” (Matendo 17:29) Tofauti na ibada ya kipagani, ambayo kwa kawaida huhusisha sanamu ‘zilizochongwa kwa ufundi na mtungo wa mwanadamu,’ Wakristo wanapaswa ‘kutembea kwa imani, si kwa kuona,’ kama Biblia inavyosema.—2 Wakorintho 5:7.
- “Jilindeni na sanamu.” (1 Yohana 5:21) Katika amri ambazo taifa la Israeli na Wakristo walipewa, Biblia inafunua kwamba mafundisho ya kwamba Mungu anakubali matumizi ya sanamu katika ibada ni ya uwongo
Acha uvivu download kuna biblia kwenye play store mpk za kiswahiliNikipata Bible ntaangalia..noted
KabisaKuna aya inasema hivi " Natamani kuila pasaka ya mwaka huu pamoja nanyi" haya maneno aliyatoa Bwana wa Sabato.
ok,pasaka ni:Ningependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..
Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..
Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...
Natanguliza shukrani..
Haimanishi pasaka ina maanisha Muharam, au ile siku waislam huchija, kuhusu pasaka soma bandiko la Yerico Nyerere kule fwesibukuNimekuta hiii...mlango wa 12....ila sijaona kama inahusiana na pasaka..
Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,
2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.
3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;
4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na ny
Endelea kusoma mkuu, kuanzia mstari wa 11 hivi inaelezea vizuri sana, soma chapter nzima
Yaan sijaelewa umejibu au vipi...maana mwishoni inaonyesha bado na ww kuna kitu huelewiUko sawa kabisa...Pasaka(passover) iliyoamriwa na Mungu kushikwa ilifanyika siku ya 14 ya mwezi wa kwanza wa Kibiblia. Na imeelezewa vizuri katika Vitabu vya Kutoka 12 na Mambo ya Walawi 23:5
Siku ambayo Yesu alisulubiwa ilikuwa ni sikukuu hii ya Pasaka(passover)...Lakini kabla ya hapo aliwaachia kumbukumbu ya kuadhimisha Kifo chake...Marko 14, Luka 22:19, 1 Wakorintho 11:26....The lords supper.
Je Pasaka ndiyo Easter?
Nimesoma kutoka sijaelewa kabisa uhusiano wake na pasaka.....Haimanishi pasaka ina maanisha Muharam, au ile siku waislam huchija, kuhusu pasaka soma bandiko la Yerico Nyerere kule fwesibuku
Nimekueelewa sana mkuu kumbe hii pasaka tumejitungia wenyewe eeeNi hivi!
Pasaka, hata Yesu mwenyewe aliikuta... Ndio maana usiku ule alipomega mkate na wanafunzi wake ilikuwa ni sikukuu ya pasaka.
Kama tujuavyo Israel ilitumikishwa sana na Farao huko Misri.
Sasa siku waliyoachiwa kutoka utumwani.. Waliifanya siku hii kuwa maalumu kwao.. Wakaiita pasaka.. Yani walisherehekea kukombolewa kutoka utumwani misri.
Baada ya Yesu kuteswa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa ajili ya Ulimwengu.. Hakika jambo hili lilikuwa kubwa mno kuliko lile la kukombolewa kwa Israel kutoka mikono ya Farao.
Hivyo pasaka ilibadilika kutoka kusherekea ukombozi wa Israel huko Misri hadi Ukombozi wa Ulimwengu kwa njia ya Msalaba..
Nimekutana na wanawake wawili hapa UG hawa ni ma boss wangu kutoko hukooo France, sikumbuki tulianzia wapi maongezi haya ila mwishoni mmoja wapo akawa akisikitika mwanae kubadili dini na kuwa muislam... kikongwe huyu sura yake ilionyesha fadhaa kabisa... kiuchokonozi niakuliza why? yule mwingine akadakia kwa kiingereza chake cha hivyo hivyo, ''it is a big problem now in France, many people especially young ones'', akamalizia kwa kusema yule mwingine, ''not only in France whole of Europe now''...... mimi chini kwa chini nikatoa ka kicheko ... kwikwikwi....nikajisemea moyoni wanakuja hao .....Allah is greatest ever[
alleh the murderer
kwa ufupi pasaka ni upotoshaji; na hii sikukuu ilikuweko hata kabla ya bw yesu kuondoka, yeye mwenyewe aliia sikuu kuu hii mara 33. ni sikuu ya mikate iliyotiwa chachu, na wala si siku ya kusurubiwa .Ningependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..
Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..
Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...
Natanguliza shukrani..
Kwahyo maana halisi ya pasaka ni siku ya mikate isiyotiwa chachu... tuseme kuwa baada ya Yesu hii sherehe ikabadilika kuenzi ufufuko wake...kwa ufupi pasaka ni upotoshaji; na hii sikukuu ilikuweko hata kabla ya bw yesu kuondoka, yeye mwenyewe aliia sikuu kuu hii mara 33. ni sikuu ya mikate iliyotiwa chachu, na wala si siku ya kusurubiwa .