Kuna mdau anaye itwa Crimea bila shaka kajibu sahihi zaid, msome alf urudie tena kuuliza swali lakoNimesoma kutoka sijaelewa kabisa uhusiano wake na pasaka.....
Na bado nasubiri maana kabisa ya hii sikukuu ni kuadhimisha kifo cha yesu au ina mambo mengine
Kwa kifupi:Kwa ninachofaham Yesu alipokua akiishi duniani wayahudi waliendelea na taratibu zao za kawaida. Pasaka ilikua moja ya sikukuu zao walipokumbuka kutoka utumwani -"Exodus."Kwa bahati nzuri au mbaya Yesu baada ya kufa nae alifufuka siku ile ile ya ile sherehe. Inaruhusiwa kunisahihisha if nimekoseaNingependa kuelimishwa maana ya hii siku ya Pasaka, asili yake na kama ilikuwepo kabla ya Yesu kusulubiwa..
Kumbukumbu zangu zinaniambia yesu alisulubiwa karibu au baada ya ile siku ya mikate isiyotiwa chachu, ningependa kufahamu kama hiyo siku inauhusiano na hii pasaka tunayosheherekea hivi sasa..
Kingine kama kuna ulazima wowote wa mkristo kusheherekea siku hii...
Natanguliza shukrani..
Pasaka ni sherehe ya kalé iliyokuwa ikibadirika maana kulingana na matukio ya kihitoria. Zamani ilikuwa siku ya kuadhimisha uhai mpya kutola kifo cha majira ya Winter kuelekea uhai Wa summer.Nimesoma kutoka sijaelewa kabisa uhusiano wake na pasaka.....
Na bado nasubiri maana kabisa ya hii sikukuu ni kuadhimisha kifo cha yesu au ina mambo mengine
Hii inayoadhimishwa sio Pasaka.ni EASTER. Pasaka haihusiani Na Ukristo.Endelea kusoma mkuu, kuanzia mstari wa 11 hivi inaelezea vizuri sana, soma chapter nzima
Kwanini makanisa yetu yanakubali kufanywa kwa sherehe ambazo hazituhusuHii inayoadhimishwa sio Pasaka.ni EASTER.
Pasaka haihusiani Na Ukristo.
Pasaka Kiebrania Pesach au kiingereza Passover
ni sherehe ya Wayahudi kukombolewa kutoka
Misri mwaka 1513 BC.
Yesu alikufa tarehe 14 mwezi wa Nisani kalenda
ya Wayahudi tarehe AMBAYO Wayahudi walikuwa
wakifanya Pasaka.
siku hiyo Yesu akaanzisha Ukumbusho wa kifo
chake Na kusema hivi : Endeleeni kufanya hivi
kwa kunikumbuka....Hivyo PASAKA ni ya
Wayahudi ,EASTER ni ya kipagani.Ya wakristo ni
MEZA YA BWANA aka UKUMBUSHO WA KIFO
CHA YESU
.kama una kalenda ya kiingereza utaona
imeandikwa EASTER wakati PASAKA kwa
kiingereza ni PASSOVER.
Ukichunguza utaona mengi.Ila ni ajabu.Hata Krismasi haiko kwenye Biblia lakini inasherehekewa! Si makanisa yote yanakubali vitu ambavyo haviko kwenye Biblia.Mimi ni Mkristo ILA Ista, naiona kama siku zingine tu.Kwanini makanisa yetu yanakubali kufanywa kwa sherehe ambazo hazituhusu
swala si mwaka Bali amefufuka. FinitoHeri za Pasaka kwa wahusika wote.
Swali langu ni moja tu, Kumbukumbu zangu zipo sahihi sana na toka 2013 huwa nasikia hiki kitu kuwa yesu alikufa miaka 2000 ilitopita, hamna namba yaani mwaka kamili ambao yesu alikufa? Au rekodi haziko sawa?
Kila mwaka wakati wa eidha xmas au pasaka, kwa xmas husema kumbukumbu za kuzaliwa yesu miaka 2000 iliyopita na pasaka pia husema kumbukumbu za kufufuka kwa yesu miaka 2000 iliyopita, hii miaka 2000 imekuwa ikitajwa toka miaka ya nyuma, je ni lini itakuwa miaka 2050 au miaka 3000?
Shukrani natanguliza.
Kwa nini husemwa kafufuka miaka 2000 iliyopita kila mwaka?swala si mwaka Bali amefufuka. Finito
Nashukuru kwa kunipa mwongozo.Soma vitabu vya Ellen G. White na kitabu cha Daniel na Siku Zetu utajua nyakati sahihi
tulia basi watu wachiche kuku zao bandani ndio uje kuropoka jfTatizo liko wapi? Kuuliza si ujinga. Wivu unafikaje hapo? Na aliyekwambia kusherehekea lazima uwe na hela ni nani?
Kufufuka kwake hakuna maana kama hajafufuka moyoni mwako!! Ni sawa na kushangilia wafanyakazi kuongezewa mishahara wakati wewe si mfanyakaziswala si mwaka Bali amefufuka. Finito
Sikukuu za utamaduni wa kizungu na miungu yao ndo maana ya kuzaliwa wanaweka mafather xmass na miti afu hii ya kufa wanaweka sijui mayai typical western cultureTatizo liko wapi? Kuuliza si ujinga. Wivu unafikaje hapo? Na aliyekwambia kusherehekea lazima uwe na hela ni nani?