KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Ukitaka mwaka ambao yesu alifufuka mwaka 33 baada ya kuzaliwa kwakePasaka njema kwa wanaoiamini!
Je neno sahihi linalomaanisha sikukuu hii ni lipi,easter au passover. Kumekua na mabishano mengi sana hapa,wengine wakisema easter ni sherehe za kipagani na hazina uhusiano na sherehe ya pasaka iliyokua imeamriwa na Mungu.
Na kama ndio hivyo ni kwa nini neno ester ndio linatumika badala ya passover?
Naomba kujuzwa tofauti ya haya mambo na nini kimepelekea neno passover halitumiki badala yake tunatumia easter.
Karibuni sana.
Ukitaka mwaka ambao yesu alifufuka mwaka 33 baada ya kuzaliwa kwake
Utaporomoka kwa ujinga wako tuna huzuni na kifo na furaha na ushindi wa kifo yaani ufufuko sasa wapi sherehe ya kufa MUNGU wetuMimi huwa najiuliza kila siku.
Inakuwaje watu washeherekee siku ya KUFA mungu wao!??
Mi kwa kweli ukristo wangu unaanza kuporomoka.
Cc picchu
Una andkoUkitaka mwaka ambao yesu alifufuka mwaka 33 baada ya kuzaliwa kwake
Mkuu huu mwez Wa nisani n sawasawa na mwz wa ngap ktk kalenda ya kawaidaUkichunguza utaona mengi.Ila ni ajabu.Hata Krismasi haiko kwenye Biblia lakini inasherehekewa! Si makanisa yote yanakubali vitu ambavyo haviko kwenye Biblia.Mimi ni Mkristo ILA Ista, naiona kama siku zingine tu.
Ikiwa hvyo ndivyo je, waisrael wao pasaka yao walikuwa wanafanya mwezi Wa ngap?Kwa kifupi:Kwa ninachofaham Yesu alipokua akiishi duniani wayahudi waliendelea na taratibu zao za kawaida. Pasaka ilikua moja ya sikukuu zao walipokumbuka kutoka utumwani -"Exodus."Kwa bahati nzuri au mbaya Yesu baada ya kufa nae alifufuka siku ile ile ya ile sherehe. Inaruhusiwa kunisahihisha if nimekosea
Reasoning ya kawaida??????sina reference kwa siku hiyo ambayo Yesu alikufa na kufufuka kuidhimishwa ,ila kwa reasoning ya kawaida unadhani itakuwa dhambi kuikumbuka siku ama kuidhimisha hiyo?
Pasaka njema kwa wanaoiamini!
Je neno sahihi linalomaanisha sikukuu hii ni lipi,easter au passover. Kumekua na mabishano mengi sana hapa,wengine wakisema easter ni sherehe za kipagani na hazina uhusiano na sherehe ya pasaka iliyokua imeamriwa na Mungu.
Na kama ndio hivyo ni kwa nini neno ester ndio linatumika badala ya passover?
Naomba kujuzwa tofauti ya haya mambo na nini kimepelekea neno passover halitumiki badala yake tunatumia easter.
Karibuni sana.
Na inakuwaje waislam pia wanajua kama huu mwaka mfungo utaanza mwez wa 06???na wanajua mpaka mwaka 2090 mwez utaokuwa wa mfungoLicha ya tarehe kubadirika lkn najiuliza inakuaje wakatoliki wanajua pasaka hadi 2020 huko zitaangukia tarehe gani.
Eid na Chrismas ziko straight foward mkuu. Chrismas iko fixed kila Decemba25, Eid kila mwezi mwandamo ukichomoza tayari, nayo siyo tarehe ya kuzaliwa mtu. Na hufuata kuandama kwa mwezi ambapo huwa ni siku 29 au 30.Na ni rahisi kujua Eid ya mwakani itaangukia lini kwa sababu mwezi mwandamo kwa mwaka hupishana kwa siku 11,sababu yake ni kuwa tarehe ya kawaida, miez 7 ina siku 31,miezi 4 ina siku 30 na mwez mmoja una siku 28/29!Sasa kwa mwezi mwandamo huwa na siku 30 au 29 tu. Hivyo inakuja utofauti wa siku 11. Ndiyo maana kama Eid mwaka jana ilikua ni 25-7-2015,basi mwaka huu INAWEZA kuwa 14 au 13-7-2016!ungeanza kujiuliza kwa nini idd inabadilika balika miezi?
Hivyo uhalisia wa tarehe haupo kabisa. Labda tukio hilo linaloadhimishwa halikua na tarehe sahihi ambayo watu wa kumbukumbu za kalenda, tarehe na mambo ya kale hawana uhakika bali ni range ya week kati ya mwishoni mwa March na mwanzoni mwa April?Mkuu hii sherehe haijawekewa tarehe ila imewekewa siku. (Ijumaa -jpili) hivyo tarehe zake zitabadilika kila mwaka.
X mas imewekewa tarehe hivyo siku ya wiki itabadilika ila tarehe haibadiliki. Pascal imewekewa siku maalum ya wiki hivyo tarehe itabadilika kila mwaka.
Una Ushahidi gani kuwa Yesu alizaliwa miaka 2016 iliopita?2016 ni kwasababu tumeanza kuhesabu tangu kuzaliwa kwa simple.
Historical miaka inapungua kuelekea kuzaliwa Yesu mpaka zero ambao ndiyo center ya moja baada ya kuzaliwa yesu.
We boya umejiandaa kubisha eti..! Wewe hapo ulipo una miaka mingapi? Ama ulizaliwa mwaka gani? Jiulize mwaka wowote uliozaliwa huo mwaka umeanza kuhesabiw kutoka wapi?Una Ushahidi gani kuwa Yesu alizaliwa miaka 2016 iliopita?
Leta andiko. Acha blah blah.
We boya umejiandaa kubisha eti..! Wewe hapo ulipo una miaka mingapi? Ama ulizaliwa mwaka gani? Jiulize mwaka wowote uliozaliwa huo mwaka umeanza kuhesabiw kutoka wapi?
MWEZI WA NISANI UNALINGANA NA NUSU YA MWEZI WA MACHI NA NUSU YA APRILIMkuu huu mwez Wa nisani n sawasawa na mwz wa ngap ktk kalenda ya kawaida
Siku na tareheEid na Chrismas ziko straight foward mkuu. Chrismas iko fixed kila Decemba25, Eid kila mwezi mwandamo ukichomoza tayari, nayo siyo tarehe ya kuzaliwa mtu. Na hufuata kuandama kwa mwezi ambapo huwa ni siku 29 au 30.Na ni rahisi kujua Eid ya mwakani itaangukia lini kwa sababu mwezi mwandamo kwa mwaka hupishana kwa siku 11,sababu yake ni kuwa tarehe ya kawaida, miez 7 ina siku 31,miezi 4 ina siku 30 na mwez mmoja una siku 28/29!Sasa kwa mwezi mwandamo huwa na siku 30 au 29 tu. Hivyo inakuja utofauti wa siku 11. Ndiyo maana kama Eid mwaka jana ilikua ni 25-7-2015,basi mwaka huu INAWEZA kuwa 14 au 13-7-2016!
Sasa mshangao ni tarehe ya Pasaka kubadilika wakati kalenda kama ni kifo au kuzaliwa ni fixed. Kadri ya fafanuzi zilizotolewa, zinashindwa kubainisha tofauti hii ya kimantiki. Kuna walakini sehemu. Halafu kinachoshtusha ni ile kusema RC, kana kwamba RC ndiyo reference ya Mambo ya Ukristo pekee.
Yesu alizaliwa tarehe 1/10/02 BC yaani tarehe 1 Mwezi wa 10 mwaka wa 2 BC .Ikiwa Yesu hangekufa sasa hivi angekuwa na miaka 2016 na miezi 6.Hivyo Yesu alizaliwa miaka 2016 iliyopita.Heri za Pasaka kwa wahusika wote.
Swali langu ni moja tu, Kumbukumbu zangu zipo sahihi sana na toka 2013 huwa nasikia hiki kitu kuwa yesu alikufa miaka 2000 ilitopita, hamna namba yaani mwaka kamili ambao yesu alikufa? Au rekodi haziko sawa?
Kila mwaka wakati wa eidha xmas au pasaka, kwa xmas husema kumbukumbu za kuzaliwa yesu miaka 2000 iliyopita na pasaka pia husema kumbukumbu za kufufuka kwa yesu miaka 2000 iliyopita, hii miaka 2000 imekuwa ikitajwa toka miaka ya nyuma, je ni lini itakuwa miaka 2050 au miaka 3000?
Shukrani natanguliza.
Nimesoma kutoka sijaelewa kabisa uhusiano wake na pasaka.....
Na bado nasubiri maana kabisa ya hii sikukuu ni kuadhimisha kifo cha yesu au ina mambo mengine