Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Ndio umeamka uandike uzi huu, lala asbh soma tena,
kwa sababu wameniacha mimi wakaabudu Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni, na Kemoshi, mungu wa Wamoabi, na Milkomu, mungu wa wana wa Amoni wala hawakuenda katika njia zangu, kutenda mema machoni pangu, kuzishika sheria zangu na hukumu zangu, kama Daudi baba yake. (1 Wafalme 11:33).
 
Wewe sabato masalia, lazma ukubali wakatolic ndio wanaoongoza liturujia za wakristu, ndio maana hata wewe umejua pasaka ni lini.
Mfano kama hiyo tarehe 14 kifo cha Nyerere ilikua jumatatu, mbona mwaka mwingine inapokua ni Ijumaa inaadhimishwa?
 
Mkuu lala tu. Masuala ya Kanisa Katoliki huwezi kuyajadili kiwepesi namna hiyo.
Kuna sheikh nilimuuliza ni kwanini sikukuu ya Iddi huwa haiwi siku moja akaishia kuniambia ninakufuru na kunitamkia Takbiiir nyingi tu. Nadhani hilo ndio liko ndani ya uwezo wako kujadili.
 
hamtakagi upagani uwekwe wazi
 
hamtakagi upagani uwekwe wazi
Asa kama hata maana ya Upagani huijui utazungumziaje upagani?
Kila mtu aheshimu imani ya wenzake. Ukitaka tuje kwako andika mambo ya kuvutia ya huyo "mungu" wako. Tutakuja bila kututusi.
 
Reactions: Pep
Wasabato kazini....
Tengenezeni nyie paska yenu msherekee kwani lazima mfuate ya kwetu
 
Nimesoma tu jina Hamis77. Nikaelewa kila kitu kilichomo kwenye bandiko
 
Asa kama hata maana ya Upagani huijui utazungumziaje upagani?
Kila mtu aheshimu imani ya wenzake. Ukitaka tuje kwako andika mambo ya kuvutia ya huyo "mungu" wako. Tutakuja bila kututusi.
wapi umetukanwa,au unataka kusikia maneno mazuri tu...
 
Yesu kristo ndiye Pasaka wetu.
Hatupi tena chini ya sheria, katuweka juu ya sheria.

Mnaokazania kukaa chini ya sheria za quran na torati, komaeni tuone kama mtatoboa bila kuvunja sheria hata moja.
 
mkuu mbona pasaka haina siku/tarehe rasmi kama ilivyo X-mas?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…