Sio lazima uonyeshe upumbavu wako hadharani, rudia mada inasemaje nawe unajibu nini,utaelewa madhara ya wewe kutokuwa na ubongo kichwani. Stupid moron.Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.
I'm curios. ⏰
Hivi kwanini kila jambo ambalo halina chanzo toka maandiko matakatifu linapozungumzwa, watekelezaji wa hilo huishia kutoa kauli kila mmoja afuate imani yake. Hivi haujui kuwa hapa duniani kuna mafundisho mengi ya kipagani na Mungu huwatumia wanadamu kuelewesha wanadamu wenzao ili kuifikia ile anasema kuifahamu kweli inayoweka huru. Mafundisho potofu ni sharti yafhihirishwe na ibaki uamzi binafsi wa msikilizaji kama aendelee kuyashikiria ama la.Jambo zuri ni kila mtu aamini dini yake sio vyema kukashifu dini nyingine
Hivi kwanini kila jambo ambalo halina chanzo toka maandiko matakatifu linapozungumzwa, watekelezaji wa hilo huishia kutoa kauli kila mmoja afuate imani yake. Hivi haujui kuwa hapa duniani kuna mafundisho mengi ya kipagani na Mungu huwatumia wanadamu kuelewesha wanadamu wenzao ili kuifikia ile anasema kuifahamu kweli inayoweka huru. Mafundisho potofu ni sharti yafhihirishwe na ibaki uamzi binafsi wa msikilizaji kama aendelee kuyashikiria ama la.
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.
I'm curios. ⏰
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.
I'm curios. ⏰
mbona wewe unajibu kwa kupanic kama muuliza ameuliza swali lake kwa misingi ya kuponda dini wakati mleta mada ameuliza kwa misingi ya kutaka kujua maana ya sikukuu ya pasaka.Jamani tuwe tunajibiana maswali kwa lengo la kubadilishana mawazo na sio kupondana.Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!
Napenda kujua hii pasaka husherehekewa kwa ajili ya jambo gani.
I'm curios. ⏰
Pasaka ni aina ya chakula kilichokuwa kinaandaliwa maalum kwa kutumia kondo na wana wa Israel kama kumbukumbu ya wao kutoka utumwani Misri! Kulikuwa na taratibu zake za kula! Mojawapo ni kula ukiwa umesimama! Mgeni hakuruhusiwa kula nk. Hivyo pasaka ni CHAKULA!
Katika agano jipya kondoo wa pasaka ni YESU KRISTO! tunakula mwili wake na kuinywa damu yake katika kukumbuka tulivyotoka katika agano la kale ambalo lilituweka chini ya sheria!
Tunasherekea kufufuka kwa bwana wa mabwana,mfalme wa wafalme,simba wa yuda,bwana wetu yesu kristo!
Mnataka nayo muishikie bango au kuiga (ila kuiga hamuwezi kwani mitume wengine hawakufufuka!)? Christmas, Yesu alizaliwa, jamaa wakatafuta usawa, wakaita Maulid ya Mtume, matokeo yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe, wengine wanasema si halali kusherehekea maulid (bida'a), wengine wanasema ni halali (hasa wanaopenda kuiga vitu vya upande mwingine). Sasa naona hapa unataka ujue Pasaka ni nini ili uipendekeze huko, lakini bahati mbaya jamaa yenu hakufufuka!
How sure you are kuwa mafundisho yako siyo ya kipagani?
Mwislamu ataona yake ndiyo sahihi ya Biblia ni yakipagani and virse versa same as to Budhism. Judaism and Shinto.